Meno yote yataota hata km asingekuwa na hilo jino moja...
Ni hivi kufikia miaka miwili mtoto wako atakuwa. - anaongea
- anatembea
Ana meno
Anajua kuvaa viatu, anawajua baadhi ya watu na mengineyo.. Ataingezeja taratibu
Usihofu kila ukuaji una wakati wake. mimi binti yangu aliota meno karibu 12, lakini akiwa na mwaka mmoja na nusu alikuwa bado anatambaaa. nikashindwa kuelewa bt nilivuta subira, pls wait hiyo sio tatizo