Iran Unveils New Air Defense Missile System

Iran Unveils New Air Defense Missile System

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,155
Reaction score
2,171

Ukiwa na Nguvu utadumu ktk hali zote! Huu ni msemo maarufu kwawenzetu wazungu! Iran ineendelea kujiimarisha kiulinzi ambapo leo J2 Imezindua likifaa lingine la kutungua midege vita ikiwemo Zile zisizo onekana kiurahisi kwenye radars km F-22,F-35,Su-57,J-20,J-31 nk nk pia hili ludude linauwezo wa kuyadaka makombora aina ya Cruise missiles sifa kubwa ya Cruise missile ni uwezo wake wa kuruka karibu sana na ardhi yakikwepa milima hivyo kufanya Radar nyingi kutoweza kuyaona tofauti na Ballistic missiles! Ukiwa na uwezo wa kujilinda na uwezo wa kushambulia basi adui ako anakua hana hamu na vita yani Both Defensive and Offensive strategies!
NB! Usitegemee vita kati ya US na Iran maana middle East itawaka moto maana Iran Ukiachilia uwezo wa kujilinda pia anauwezo wa kushambulia kwa makombora ya Ballistic mashariki ya kati yote na baadhi ya sehemu ya Africa na pia Ulaya!
 
Iran huwa anaomba bt kimya kimya
Hahaha dogo kama hujui basi wacha nikupe siri vikosi vyote vinavyo mpiga Israel wanapewa pesa nansilaha na Iran, na Israel anaishia kupiga kelele tu.

Ingekuwa Tanzania Israel angeisha kuja ipiga, lakini unajua Israel akisikia tu Iran anakimbia chooni kuharisha, afu baada ya hapo anakimbia UN kuharisha kwa mdomo.
 
Back
Top Bottom