Special Thread! Vifaa Mbalimbali vinavyotengenezwa IRAN

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,155
Reaction score
2,171
Baada ya IRAN kuongelewa ivi karibuni kihusu Drone zake za Kamikaze na hivo kizua mijadara mbalimbali Duniani.. Imebidi tuje na Uzi maalumu utakaokua unaonesha Technology ya IRan ktk utengenezaji wa vifaa mbalimbali mf vya Kijeshi, hospitals, magari na kadhalika...
Uzi huu ni open kwa kila mwana JF kuweza kupost #Made in IRAn
 
Iran made super tankers kwa ajili ya kusafirisha bidhaa za Oil na kadhalika.. Hii ni technology mojawapo ya hawa wahajemi... Apa ikiwa inampelekea mteja wake Venezuela hizi meli kubwa za kubeba mafuta...
Screenshot_20221120-133031.jpg
 
Iran Made passenger vehicles!
Iran ina kampuni kubwa ya kutengeneza magari mbalimbali ktk mashariki ya kati...
C1836En.jpg
AryanFa.jpg
Arya2624LKEN.jpg
1%20(1).JPG
 
Attachments

  • 3.JPG
    3.JPG
    10.3 KB · Views: 12
  • 1%20(1).JPG
    1%20(1).JPG
    9.7 KB · Views: 13
Mapna Group! Hii ni kampuni kubwa ya Iran inayotengeneza mitambo mbalimbali km Treni, vifaa vya umeme, Turbines, na ina project kubwa ktk nchi mbalimbali wa kutengeneza umeme wa Gas mfano Iran,Irak, Venezuela nk... Kati ya Technical know how waliyoweza kua nayo ni kutengeneza Turbines za Gas ili kuzalisha umeme ikombukwe ni Germany na nchi chache sana za Ulaya na China zenye kutengeneza Turbines.. Turbines ni km engine za Ndege... Ikumbukwe baada ya Mzozo wa Russia Vs Ukraine Nchi za Ulaya na US imeziwekea Russia vikwazo vya Turbines kwan Russia hana amekua akitemgea Turbines miaka yote toka Kampuni ya Siemens ya German... Sasa Russia amehamia Iran tena baada ya drone
.
Tehran will supply 40 gas Turbines to Russia.. Apa wazungu vichwa vimewauma sana kua huyu muhajeni amewezaje kua na technology ya Turbines?View attachment 2422147View attachment 2422148View attachment 2422145View attachment 2422146View attachment 2422149View attachment 2422150
View attachment 2422152
 
Reverse Engineering; they're only building the bodies and go on to use engines and gearbox systems they recycle from old autos. Nothing fantastic there.
 
Tecnology inaibwa mkuu wala usihofu.
 
Reverse Engineering; they're only building the bodies and go on to use engines and gearbox systems they recycle from old autos. Nothing fantastic there.

Zile akili za timu "roho ya korosho".
Haya sasa, na wewe lete ya kule kwenu Tanzania.
 
Reverse Engineering; they're only building the bodies and go on to use engines and gearbox systems they recycle from old autos. Nothing fantastic there.
Reverse engineering pia sio rahisi lazima uwe na idea na unacho kiiga. We unaweza kureverse engineer hivi wanavyovifanya?
 
Siku Bongo tukiiba hata technology ya kutengeneza teeth sticks industry na kutotegemea bidhaa zitokazo nnje ya nchi zaidi hata kwa 50% tu ndipo maradhi, umaskini, ugonjwa na uchawa utapokoma na ni kipande sana Chifu [emoji87]

Na iwe hivyo.
 
Nikipata Time ntakuja na
ITMCo..Iran trector manufacturing co
Shaheed.... Helicopter made in Iran
Ultrasound machine, military vehicles, Different imaging cameras kwenye matumiz ya kijeshi na satellites, Boring machines nk nk nk... Then ntatafuta na uzalishaji wao wa umeme then tulinganishe na 1700Mw zetu hizi ambazo zinatufanya tukose kuangalia Word cup games...
 
Back
Top Bottom