BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,142
- 2,148
Baada ya wakandarasi kufunga hizi Taa barabarani na kuondoka hatujui ninani anaepaswa kuzifanyia service.. Nilitembelea Mwanza ivi karibuni Likizo barabara ya Maduka Tisa iliwekewa taa miaka 2 iliyopita lakini zinazowaka hazifiki ata 5 Barbara nzima kuanzia Buzuruga hadi Pasiansi... Je kandarasi inasemaje? Je Betri za solar zimeisha hivo zinahitajika kubadirishwa au lah? Je ni Halmashauri ndo inapaswa kuzifanyia service au lah? Au baada ya miaka 2 hizi Taa zikizimika tunabaki na nguzo tu?? Tanzania Tanzania hivi hakuna hanaeona hii miradi iliyo gharrimu mamilioni ikiangamia????