Search results

  1. Pedrz

    Karibu tupeane fursa za Katoro, Geita

    Mimi sio mwenyeji sana katika mji huu ila natamani sana kuanza biashara ya Nguo za watoto Katoro sema sina connection ya frame na bado sijajua fursa zilizopo Katoro Kwahiyo nawakaribisha wanajamii kwa mawazo. Nikijua nitapata ushauri mzuri wa sehemu hiyo na bei za frame, ikiwezekana na...
  2. Pedrz

    Mpenzi wangu kazimia gheto nifanyeje?

    Hii ilishawahi kumtokea rafiki angu kamwita demu wake geto alafu kakuta sms za demu kibao kwenye simu ya mshikaji wake wacha azimie Sasa hii imetokea kwangu juzi kuna kademu kalikuja geto sasa nilikuwa nimezidiwa kweli ndo maana nilikaita sasa baada ya show Nimeenda kuoga kurudi kanaanza...
  3. Pedrz

    Simulizi: Ulikuja kutafuta nini? (sehemu ya 01)

    Habari wana JF nawaletea simulizi nzuri ya Ulikuja kutafuta nini? Kama mtaipenda basi ntawaletea sehemu ya 02 sahivi tucheki hii sehemu ya 01. Kweli hamna kinachoshindikana mbele za Mungu baada ya miaka miwili mtaani leo napata ajira katika shule ya msingi Nakoza nilifurahi sana, haya maisha ya...
  4. Pedrz

    Ulishawahi kupendwa na rafiki wa Mpenzi wako?

    Dah! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti. Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu...
Back
Top Bottom