Search results

  1. twende wote

    Kujinyonga kwa vijana na watoto

    Habari wadau, Niende kwenye mada, Jambo la mtoto au kijana kujinyonga sio Jambo la kumlaumu mtu, Jambo Hilo Ni Jambo linaloenda ki Imani zaidi, (Dini) Jambo hili liko ktk ulimwengu wa roho, Ninaposema ulimwengu wa roho naomba mnielewe kwa wale wakristo mtanielewa, mwanadamu ameumbwa na vitu 3...
  2. twende wote

    Hivi kweli, Hawa panya wanaweza kushinda jeshi la polisi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama?

    Hivi kweli, Hawa panya wanaweza kushinda jeshi la polisi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama? Hebu Wana usalama acheni kutia aibu, hao vijana hawakulelewa, kamateni wakafichwe wasirudi mtaani, Kama polisi mnashindwa, ingieni operation maaalum na JWTZ. Acheni kupuuza Hali itazidi kuwa mbaya...
  3. twende wote

    Hospitali ya Kamanga jirekebisheni

    Hospitali yenu Ni nzuri kwa uwekezaji, Ila ni mbovu kabisa kwa huduma, hasa upande wa bima hasa za NHIF. Mnabambika madeni ya matibabu, mbaya zaidi huduma za wazazi wajawazito, Ni mbovu na wengi wanapoteza maisha ktk uzazi shida iko wapi?? Msipobasilika mtapoteza wateja, yatabaki maghorofa. Kama...
  4. twende wote

    Kufika Desemba njaa itaua watu, Serikali ichukue hatua haraka

    Waziri Bashe chakula ni uti wa mgongo, leo msimu wa mavuno mahindi yamefika laki na 20, na bado yanapanda, sawa achieni watu wapate pesa, lakini pesa haina maana kama kuna mfumuko, zuieni mipaka, tengeneza soko la ndani, kweli nawaambia, viongozi wangu mtakosa majibu ya wananchi, muda ni...
  5. twende wote

    Mabinti zangu acheni matumizi hatari ya P2

    Niwasihi wadogo zangu haya matumizi ya haya madawa acheni yatawaletea madhara ya ukubwani, hakuna wa kuwasemea ali mradi ni biashara za watu, ila nawaonea huruma, acheni haya mambo. Kama unashindwa kuwa na subira maliza masomo yako olewa.
  6. twende wote

    Waziri wa Kilimo sikia kulio chetu

    Habari za majukumu, Niende kwenye mada, hebu SERIKALI ingilieni suala la Hawa wageni, wanavuka mipaka wanakuja nchini wanakusanya mazao kwa Bei ya juu, mpaka Sasa gunia la mpunga linauzwa zaidi ya laki moja, wakulima wanauza kiholela sana, sikatai mi Jambo jema, lakini!? Swali je? Baada ya...
  7. twende wote

    USHAURI: Serikali inunue chakula kwa wakulima

    Niende kwenye mada. Wakulima wameivisha CHAKULA,, lakini cha ajabu chakula kinanunuliwa na wageni wa nchi jirani kiholela, wanapeleka pesa mashine ni wananunua mchele kwa bei za kuruka. Baada ya mavuno bei zitapanda, mara sugu, na pengine kurudisha tena tz na kutuuzia tena kwa bei mara mbili...
  8. twende wote

    Wamachinga wapitiwe ufumbuzi.

    Hawa watu ki ukweli wana hali ngumu sana,hebu viongozi acheni ubinafsi,jaribuni kuwa wabunifu, Tengenezeni masoko ya jioni,machinga wauze bidhaa zao wawekewe utaratibu wa kufanya usafi,hata kwa kulipia kwa kampuni za kuhakikisha baada ya biashara usafi unafanyika, Lakini sio hali ya sasa,chinga...
  9. twende wote

    TARURA Mwanza, Daraja la Mwasonge lilikabidhiwa kwenu na mkaridhika?

    Nimebahatika kupita barabara moja inatoka buhongwa Kuna daraja nimeuliza linaitwa MWASONGE, bridge. Swali langu ni je Hilo daraja lilikabidhiwa kwa TARURA? Thamani ya pesa iliyotumika iko sahihi? Jamani kuweni na huruma na Kodi za wananchi, daraja mvua ikinyesha inayonyesha ya maana hakuna...
  10. twende wote

    Kwenye Nchi za Kigeni suala la Umeme kukatika halipo na likitokea ni kwa muda mchache sana

    Moja kwa moja kwenye mada, bahati nzuri nimepata bahati ya kuishi nchi za kigeni, suala la kukatika umeme, ni suala halipo, labda,labda ikitokea ni sekunde. Nayo sikuwahi shuhudia when in Canada Hoja yangu, jumapili umeme umekatika siku nzima maeneo ya Kanda ya ziwa, nilikuwa hoteli flani...
  11. twende wote

    Maisha yangu ughaibuni

    Ilikuwa miaka ya 97 wakati naingia kidato Cha kwanza ktk shule moja ya tech,iliitwa yombo. Maeneo ya vituka, nawakumbuka mwl wangu moja aliitwa mafwili, na lufumbo Dah hapo nagusia kabla sijaachana na shule kuelekea ughaibuni, Safari yangu ya kwanza ilianzia dar kuelekea south, nilipewa Ada...
  12. twende wote

    Kama taifa uzalendo muhimu

    Napenda kumpongeza waziri wetu wa fedha kwa mipango ya fedha,lakini penye shida kubwa ni pale mlipopendekeza tozo kubwa kupita kiasi,ilipaswa tozo iwe ndogo kiasi Cha sh 200-500 hapo Nina hakika ukusanyaji ungekuwa mkubwa kuliko Sasa,amini usiamini mtu Yuko tayari asafirishe pesa kwa daladala...
Back
Top Bottom