twende wote
Member
- Mar 29, 2021
- 50
- 84
Moja kwa moja kwenye mada, bahati nzuri nimepata bahati ya kuishi nchi za kigeni, suala la kukatika umeme, ni suala halipo, labda,labda ikitokea ni sekunde. Nayo sikuwahi shuhudia when in Canada
Hoja yangu, jumapili umeme umekatika siku nzima maeneo ya Kanda ya ziwa, nilikuwa hoteli flani wanalalamika gharama za kuwasha generator. Jumatatu TR 04/10 umeme haununuliki
Leo TR 05/10/2021 umeme umekatwa asubuhi hii, Nini tatizo?? Au unahujumiwa?? Au ni maslahi binafsi??
Haya mambo watanzania walikwisha sahau, hebu watendeeni haki
Kama iko shida wapeni taarifa, ni kero na karaha,