Search results

  1. MBUTA2001

    Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Ndugu yangu huwezi kuelewa maana hujui mpira Wala hufuatilii mpira , kingine unasema kwa kawaida,maana yake umekariri. Kilichofanyika ni sahihi na refa alikuwa sahihi. Ingia YouTube angalia Liverpool vs Barcelona, Simba vs Nkana Red Devil na mengine mengi.
  2. MBUTA2001

    Nahitaji karatasi za kutengenezea mifuko

    Nina kg 80 Niko mkoani, njoo PM tuongee biashara
  3. MBUTA2001

    Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Mimi mhanga wa wanawake wa design hiyo
  4. MBUTA2001

    Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Huko kwenu wapi ndugu tuje tuwachumbie
  5. MBUTA2001

    Lotion kwa Wanaume

    Lotion inawasha hii sijapata kuona. Ukijichanganya tu ikagusa jicho basi
  6. MBUTA2001

    Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

    Ahsante sana,Uzi umeumaliza kabisa
  7. MBUTA2001

    Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

    Nyuki usafiri 2km kufuata polen
  8. MBUTA2001

    Amenidhalilisha vibaya nalazimika kumuacha

    Ndio ukubwa huo kiongozi. Wewe huyo tu mmoja unachukia mapenzi? Mimi nikimpata tit for tat mchumba wangu ambaye nimempangishia chumba,nikamkanata na mwanaume ndani saa 5 usiku hiyo Ni 2007 na akanizuga kwamba ni jamaa wa rafiki yake. Sikutoa vurugu na jamaa alimpa mimba wakatoa na mwishowe...
  9. MBUTA2001

    Ushauri, natarajia kuanza biashara ya vitu vya jumla vya dukani kutokea Dar es Salaam kuja mikoani

    Ahsante sana nami umenisaidia maana naagiza vitu dar to mkoani lakn naagiza kwa mtu sijui ana supermarket yule Bei yake imechangamka
  10. MBUTA2001

    Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

    Nina marafiki zangu wanaofanya biashara ya tanzanite. Walinishauri niingie huko kwa 5M. Je, dhahabu inalipa kuliko tanzanite? Hasa kwa anaeanza
  11. MBUTA2001

    INAUZWA Nauza korosho

    Mjasiriamali weka Namba ya simu au mpaka tufuatane pm
  12. MBUTA2001

    Mgeni mgeni nipokeeni

    Nimeshakwambia lenie
  13. MBUTA2001

    Mgeni mgeni nipokeeni

    Hapana mkuu
  14. MBUTA2001

    Mgeni mgeni nipokeeni

    Ahsante sana KMMS
  15. MBUTA2001

    Mgeni mgeni nipokeeni

    Mgeni mgeni wapendwa naomba kupokelewa. Japo siyo mgeni JF nimeanza kusoma post miaka 8 au zaidi iliyopita ila sasa nimeamua nijiunge rasmi.
Back
Top Bottom