Search results

  1. K

    KERO Nimebambikiwa parking fees na TARURA

    Huu mchezo wanaufanya hata Traffic wa barabarani. Yaani iko hivi gari yako yawezekana iliandikiwa parking huko nyuma sasa control number bado inasoma kwahiyo watu wa parking wakiona hesabu walopewa kwa siku haijafikiwa wanaingia kwenye mfumo wanachukua hizo control number na kuziandikia parkin...
  2. K

    Nawatapeli sana wanawake!

    [emoji23][emoji23] kweli kabisa mkuu.
  3. K

    Nawatapeli sana wanawake!

    Mkuu sasaiv Dar kuna aina nyingi sana ya malaya/wadangaji.siwez nunua malaya anaejiuza waziwazi kuna hawa malaya unawakuta ni graduate ila amepanga chumba tabata wenyewe Mara nyingi unakutana nao viwanjani haswa beach au shopping malls. Wao huwa wanajiuza kwa ujanja flani hivi huwa hawataki...
  4. K

    Nawatapeli sana wanawake!

    Nikweli kabisa. Nilishawahi mfanyia mmoja hivi paaap kaja lodge nikachakata mbususu mpaka asubuhi nikamchukua kwenda kumdrop kwake ile tumefika kwake nikapaki Gari nikamwambia ngoja nkutumie kupitia bank basi nikajifanya nafanya transction kwa sim kisha nikamwambia tayari, akasema mbona sms...
  5. K

    Nawatapeli sana wanawake!

    [emoji23][emoji23]umeongea ukweli mtupu
  6. K

    Magenge hatari ya uhalifu duniani

    [emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka kinoma
  7. K

    Wanawake mnaojiuza, hivi mnajuaga kuna maisha ya uzeeni?

    Kitakachofata mnaenda kulana wanaume kwa wanaume....
  8. K

    Msaada kuna vibali vya upigaji picha maeneo ya mijini?

    Vibali vya picha jongevi na mnato vinatolewa Bodi ya filamu Tanzania. Ofisi zake zipo UTUMISHI HOUSE barabara ya Kivukoni.
  9. K

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Vijiji vingi vya wilaya ya Bariadi mkoa wa Simiyu utashangaa wasukuma Sijui walifata nini huko, unakuta kijiji hakina umeme Wala maji. Yaan Maji yao wanachimba mabwawa kipindi cha mvua Maji yanatuama humo basi ng’ombe na binadam wote ndo mnakunywa Maji hayo!! Maji Kama maziwa kuna wachawi huko...
  10. K

    Hakuna Taifa Afrika Mashariki lenye watu wengi wanaojielewa kama Kenya

    Unawalisha kwa kuwapa msaada wa chakula au wanatoa hela zao tunawauzia chakula? Tajiri halimi tajiri anatumia hela zake kununua chakula.
  11. K

    Nalaani vikali DC MOSHI kukamata mafundi ujenzi site kisa wanajenga nyumba isiyokuwa na kibali cha ujenzi

    Point yako iko tofauti kabisa na mada aloleta jamaa! Swala la kupanga mji vizuri sio hivyo vibali vya ujenzi. Hizo nchi unazosema Nyumba zao zimepangika ni kwasababu kabla watu hawajavamia maeneo kwaajili ya makazi, serikali inaenda kupima hivyo viwanja inatengeneza mitaa na njia za miundo mbinu...
  12. K

    JWTZ waanze doria kila jioni kama RDF wanavofanya kule Rwanda, ulinzi utakua 100%

    Amani haijaharibika kiasi hicho kwamba JWTZ waingizwe mtaani serikali ingia gharama za kuwalipa posho. serikali Ina mambo mengi sana ya kuwafanyia wananchi wake ikiwa pamoja na huduma za afya elimu na mambo kadha wakadha. Panyaroad ni rahisi mno kuwasambaratisha ni vile tu serikali haijawa...
  13. K

    Gari linatoa harufu ya petrol ndani

    Vipi Kama inatoa harufu ya moshi haswa ikiwa inapanda mlima, tatizo linaweza kuwa nini wataalam?
  14. K

    Kijana kapotea cheti cha Kidato cha Nne. Je, ataweza kupatiwa kingine?

    Habari wana jukwaaa. Kijana wangu amepoteza cheti chake cha elimu ya kidato cha nne, kwa mwenye uzoefu na hili jambo hatua za kufanya ni zipi? Je, ataweza kupatiwa kingine?
  15. K

    TAWA: Ongezeko la Tembo ni hatari kwa maisha na mali za watu, Mamlaka iruhusu Uvunaji wa Pembe kwa faida ya Nchi

    Tembo wamekuwa wengi na wanauwa watu na kuharibu mazao ya wananchi ni vile tu vyombo vyetu vya habari vinaandika habari za mijini tu. Wilaya ya Nachingwea na Ruangwa mkoani Lindi wananchi wanapoteza maisha kutokana na Tembo. Wananchi wamekuwa na Hasira mpaka walitaka kugomea sensa kutokana na...
  16. K

    Msaada: Nini suluhisho la kuondoa unyevu/kulowa kwa msingi wa nyumba?

    Habari wana JF, Kwa wale wataalam wa ujenzi na ambao mmeshajenga nyumba, nini suluhisho la kuondoa unyevu/kurowa kwa msingi wa nyumba? Kwani unyevu/kulowa huko husababisha rangi ya nyumba kubanduka na kufanya nyumba kupoteza muonekano.
  17. K

    Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

    Mkandarasi wa kimara Posta alikuwa Strabag. Barabara za strabag nchi hii zinaviwango yawezekana budget yao iko juu.
  18. K

    Headlights cleaning

    Habari zenu wana JF Kuna hii huduma ya kusafisha headlights jamaa wanaitoa ukungu zinakuwa na muonekano Kama mpya. Hivi usafishaji huu hauna madhara kweli kwa taa za Gari hapo badae?
  19. K

    CRDB Bank, huu ni wizi wa waziwazi

    Kama hii hela inaenda Brela, basi Brela wanatubebesha mzigo mkubwa, 22k ni nyingi mno kwa ku-certify usajili wa kampuni.wangeweka hata 500 kwani ikumbukwe kampuni hii inayotakiwa kuwa confirmed kwenye system ya Brela tayari imeshachajiwa hela nyingi tu za kutosha za usajili.
Back
Top Bottom