Kijana kapotea cheti cha Kidato cha Nne. Je, ataweza kupatiwa kingine?

Kijoroo

Member
Mar 25, 2021
43
135
Habari wana jukwaaa.

Kijana wangu amepoteza cheti chake cha elimu ya kidato cha nne, kwa mwenye uzoefu na hili jambo hatua za kufanya ni zipi?

Je, ataweza kupatiwa kingine?
 
Back
Top Bottom