Search results

  1. watambi

    Linda chombo chako cha moto na GPS tracking system

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata...
  2. watambi

    Wanataka kunidhulumu

    Naomba ushauri na msaada wa kisheria nimenasa audio ya watu wawili wakipanga jinsi ya kutafuta hati ya kiwanja changu.kwa sasa kiwanja hakina hati. nataka niwashtaki je nitafanikiwa na pia hii imekaaje kisheria
  3. watambi

    Kachumbali

    kuwa makini na kachumbali za maeneo ya kariakoo Dsm hasa kwenye vibanda vya chips na baadhi migahawa na mahoteli.Kwani kuna wale wajasiliamali wanaouza vifaa vya kukatia kachumbali mitaa ya kariakoo kwa kuonyesha jinsi vifaa hivyo vinavyofanya kazi,utakuta ana lundo la karoti,kabichi nk...
  4. watambi

    Naomba dua zenu

    Kutokana na habari zinazohusu ajari humu jamvini.jamani naomba dua zenu.nipo mtwara kikazi na kesho ndo narudi dar yan nimewamiss sana wanangu hasa hasa mama yao naomba dua zenu ili nifike salama na kuungana na family yangu
  5. watambi

    Majambazi yapora fedha Benki ya Habib African

    Habib bank iliyopo maeneo ya kariakoo imevamiwa na majambazi yamefanikiwa kuondoka na kiasi kikubwa cha hela kwa kutumia gari aina ya nohar tukio limechukua zaidi ya dk 45 kwani wamefanikiwa kuingia mpaka strong room update Inasemekana zaidi ya bilion 1 zimeibiwa.majambazi walikua 5 na...
  6. watambi

    Natafuta gari la kukodi kwa siku 3

    Natafuta gari ya kukodisha kwa muda wa siku 3 iwe na uwezo wa kuchukua watu zaidi ya saba na iwe katika hali nzuri.iwe ya bei nafuu na haitajiki dereva
  7. watambi

    kuibiwa gari si uzembe ila kutolipata GARI LAKO NI UZEMBE MKUBWA

    Linda gari lako kwa kutumia mtambo maalum kupitia simu yako ya kiganjani kwa mawasiliano zaidi tembelea -www.isecuretz.blogspot.com -isecure24@ymail.com -isecure...
  8. watambi

    Gsm dialer

    Kwa wanaitaji gsm dialer kwa ajiri ya alarm system sasa zinapatikan kwa bei nafuu kwa mawasiliano na order piga au tuma sms 0767416466
  9. watambi

    Nbc bank kuna wezi kuwa makini na account yako

    Kuna wafanyakazi wa kampuni moja. Wapo zaidi ya kumi wamejikuta hela zao zimetoweka katika mazingira ya kutatanisha katika akaunti zao Za NBC. Na kila mmoja kwa wakati wake alijaribu kufuatilia bila mafanikio.Ila walioibiwa wote ni wale wenye kadi mpya Za NBC.Je kuna mwanajamvi yeyote naye...
  10. watambi

    mafuriko na posho

    Inasemekana Kuwa wakati mafuriko yakiendelea siku ya pili watu walikuwa kwenye vikao vya wokozi wakigawana Posho badala ya kwenda moja kwa moja eneo la tukio na vifaa vya kuokolea watu ikiwa hii nikweli basi Hatuna viongozi Tanzania hii.
  11. watambi

    tehe tehe

    Nimefanikiwa kujiunga jamaniii nikaribisheniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Back
Top Bottom