kuibiwa gari si uzembe ila kutolipata GARI LAKO NI UZEMBE MKUBWA

watambi

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
327
254
Linda gari lako kwa kutumia mtambo maalum kupitia simu yako ya kiganjani
kwa mawasiliano zaidi tembelea
-www.isecuretz.blogspot.com
-isecure24@ymail.com
-isecure technologies (facebook page)


For demostration
Tuma sms w000000,100 kwenda namba 0683112164 na utatumiwa link ambayo ukiifungua utajua sehemu gani gari inayotumika kwa demostration ipo hakikisha simu yako ina internet
Track gari mara nyingi kadili upendavyo
 
Isitoshe majambazi wenyewe wana mtando hadi na hao wanaojiita car track etc so wanajua kabisa wakichukua gari ni wapi pa kukorokochoa ili kukata mawasiliano na hiyo kitu inaitwa car track
 
Msiwe na hofu kitu cha msingi kitakua ni kukumbuka namba ya sim card uliyoweka kwenye car track na pia kukumbuka namba yako ya siri na unaweza kuizima gari au kuiwasha hata kutumia Nokia ya tochi
 
nimewahi kusikia hivyo vifaa , kitu gani kingine kinaweza fanya hiko kifaa chako zaidi ya tracking

Pia kinaweza kumonitor mafuta, kusikiliza mazungumzo ya ndani ya gari hizi ni option kama utataka utawekewa. pia kinaweza kukuonya kama umeover speed,pia kina button ya emergency ambayo itatuma taarifa kwa watu ambao utawachagua.Cha muhimu zaidi kila kitu kitakua ni siri yako hata sisi hatutoweza kutrack hiyo gari yako kwani baada ya kukufungia tutakuelekeza jinsi ya kukitumia na pia jinsi ya kubadili namba yako siri ambayo utaweza kuibadil muda wowote unaotaka na kwa mara nyingi kadiri upendavyo,hivyo kifaa hiki kinakufanya uwe na uhakika wa usalama wa gari yako kwa 95%
 
[QUTE=LexAid;5133350]Mkuu, majambazi wakikunyang'anya na simu zote inakuaje?[/QUOTE] Njia ya kwanza ni kuazima simu yoyete na kuizima engine ya gari kwa kutuma command maalum kwenye gari kitu cha muhimu ni kukumbuka namba ya sim card iliyopo kwenye gari na namba yako ya siri ili hiyo command iweze kufanya kazi
 
Bei ni Tsh laki 5 pamoja na installation na hakuna malipo yoyote mengine zaidi ya wewe kuricharge simcard
 
Back
Top Bottom