Linda chombo chako cha moto na GPS tracking system

watambi

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
327
254
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.

Mfano
---- Sehemu chombo kilipo
---- Mwendokasi wake
---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika
---- Chombo kuwashwa na kuzimwa

Kuna aina mbili za ufungaji wa GPS TRACKING SYSTEM

1) Full management tracking system
2) Basic trucking system

Leo nitazungumzia kwa ufupi aina ya pili ya ufungaji pamoja na changamoto zake

UFUNGAJI

Ni mfumo ambao unafungwa kwenye magari madogo,makubwa, pikipiki,bajaji, guta,baiskeli.
Ni mfumo rahisi kuufunga na kifaa( device) yake unaweza kuagiza na kukifunga, Mara nyingi vifaa hivi uwa vinatoka China
hivyo mafudi na watu binafsi wanaweza kuagiza na kufunga kwenye vyombo vya moto

CHANGAMOTO
Baada ya ufungaji kila kifaa (Device) uwa kinakuwa na application (Platform) yake inayo kuwezesha kuona chombo chako
kupitia simu ya mkononi au kompyuta. Application ( Platform) hizi huwa ni bure kwa kipindi cha miezi sita mpaka mwaka mmoja.
Hapo ndipo mafundi wengi wanawadanganya wateja wao kuwa Application hizo kuwa ni za bure.

Tatizo uanza baada ya miezi sita au mwaka hapo ndo utaona Device yako imesimama kuripoti na mara nyingi itakuambia DEVICE EXPIRE.

Hapo ndipo utamtafuta fundi wako naye mara nyingi atakua anakukwepa na hata akikupa ushirikiano mara nyingi watakwambia badilisha sim card hata hivyo njia hiyo aiwezi kutatua tatizo mwisho wa siku watakwambia kuwa device imekufa na watakushawishi ununue nyingine.

ambayo baada ya miezi sita au mwaka tatizo lilelile linajirudia tena.

UFUMBUZI
I SECURE TECHNOLOGY ----
kampuni inayojishughulisha na ufungaji wa GPS TRACKER pamoja na mitambo mingine ya ulinzi imekuja na suluhisho
la tatizo lako.
---- Kama GPS TRACKER inakwambia DEVICE EXPIRE Usihofu wasiliana nasi kwa namba
0737585037 Whatsup

0710141917 na 0731827638
Tunafanya kazi kwa uaminifu mkubwa na malipo nafuu vitu vya kuzingatia tutumie aina ya GPS TRACKER
iliofungwa kwenye chombo chako cha moto, hakikisha kifaa chako kipo ON, Tutumie namba ya simcard
inayotumika kwenye simcard yako, vitu hivyo ni muhimu ili kujua kama GPS TRACKER yako inaingiliana na mifumo yetu
KUMBUKA KURECHARGE SIM CARD BADO LITABAKI KUWA JUKUMU LA MTEJA
tutakupa offer ya wiki 2 bure baada ya kufanikiwa kuunganisha mifumo yetu ili kukupa muda wa kufanya maamuzi jinsi ya
kulipia huduma hiyo


GHARAMA ZETU


-- Malipo kwa mwaka 50,000/=
-- Malipo miezi sita 25,000/=
-- Malipo kwa mwezi 5,000/= Malipo kwa mwezi unaruhusiwa kulipa baada ya kupata huduma

TUNAPOKEA MAONI , USHAURI. TAFADHALI USISITE KUWASILIANA NASI
0737 585037 whatsup
0737 827638
0710 141917
 
Hizo ni gharama za platform ili kukuwezesha kuona chombo chako kupitia simu yako ya mkononi
 
ANGALIZO

Bei hizo ni kwa mtu mwenye GPS TRACKER ambazo zimeexpire na fundi wake ameshidwa kuziweka online I Secure Technology tutazirudisha online kwa gharama hizo

Kama ni mteja mpya tutakufungia kwa 150,000/= na utachagua jinsi gani utalipia hayo malipo ya mwezi

BADO TUNAITAJI MAONI YENU NA USHAURI
 
Basic tracking system unaweza kujua taharifa za gari ilipo ,speed na riport mbalambali isipokua Fuel management mfano kujua mafuta yaliyojazwa, kama mafuta yameibiwa, na kiasi cha mafuta yaliyotumika
Ok Mkuu Nimekupata.
 
karibuni ISECURE kwa wale wenye mahitaji na GPS tracking. Pia kwa wale ambao wameshafunga GPS kwenye magari yao . Tunaweza kutumia hizo GPS ulizokuwa nazo na kuzihamishia kwenye mtandao wetu. Huna haja ya kununua kifaa kipya
 
Asanteni sana wateja wetu kwa ushilikiano wenu mliouonyesha kwetu. Wapo ambao walitulipa na kuwapa huduma zetu kwa uaminifu mkubwa na wapo tuliowapa huduma na malipo yakafuata baadae asanteni sana.

Kampuni ya I - SECURE TECHNOLOGY sasa inakutoa hofu kuhusu kuibiwa Smart TV yako, Sasa tunafunga GPS Tracker kwenye TV yako.
Tunaweza kukutumia Tracker ukamplekea fundi wa TV unayemuamini na akaifunga kwenye TV yako sisi kazi yetu itakua ni kuiprogram na kukupa Application ambaya itakuwezesha kuiona TV yako sehemu yoyote ilipo


TUNAPOKEA MAONI , USHAURI. TAFADHALI USISITE KUWASILIANA NASI
0737 585037 whatsup
0737 827638
0710 141917
 
Asanteni sana wateja wetu kwa ushilikiano wenu mliouonyesha kwetu. Wapo ambao walitulipa na kuwapa huduma zetu kwa uaminifu mkubwa na wapo tuliowapa huduma na malipo yakafuata baadae asanteni sana.

Kampuni ya I - SECURE TECHNOLOGY sasa inakutoa hofu kuhusu kuibiwa Smart TV yako, Sasa tunafunga GPS Tracker kwenye TV yako.
Tunaweza kukutumia Tracker ukamplekea fundi wa TV unayemuamini na akaifunga kwenye TV yako sisi kazi yetu itakua ni kuiprogram na kukupa Application ambaya itakuwezesha kuiona TV yako sehemu yoyote ilipo


TUNAPOKEA MAONI , USHAURI. TAFADHALI USISITE KUWASILIANA NASI
0737 585037 whatsup
0737 827638
0710 141917

Nilivokuelewa.
Endapo nataka kufungiwa GPS Tracker mpya kutoka kwenu, basi nitalipia 150,000. Kisha nitaweza kutumia huduma bure kwa muda wa mwaka mzima ndio nitaanza kulipa 5000 kwa mwezi.
 
Nilivokuelewa.
Endapo nataka kufungiwa GPS Tracker mpya kutoka kwenu, basi nitalipia 150,000. Kisha nitaweza kutumia huduma bure kwa muda wa mwaka mzima ndio nitaanza kulipa 5000 kwa mwezi.

kama tutakufungia Tracker mpya Utalipia 150,000 na malipo ya 5000 kwa kila mwezi. Ila kma unazo tracker zako tutakuunga kwenye mfumo wetu na utalipia sh 5000 kwa mwezi. Karibu mkuu tufany kazi
 
Kwa huduma hii wasiliana nasi mteja kwetu ni mfalme
IMG-20210124-WA0018.jpg
 
Wasiliana nasi kwa ushauri kwa maswala yote yanahusiana na usalama wa mali zako. Ushauri ni bure tutakushauri na kukuachia nafasi ya kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom