Naomba dua zenu

watambi

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
327
254
Kutokana na habari zinazohusu ajari humu jamvini.jamani naomba dua zenu.nipo mtwara kikazi na kesho ndo narudi dar yan nimewamiss sana wanangu hasa hasa mama yao naomba dua zenu ili nifike salama na kuungana na family yangu
 
uwa miss wengine wengine wakupe moyo binadamu bwana..
 
Asanteni kwa mlionitakia safari njema.mungu kasikia maombi yenu nimefika salama
 
Back
Top Bottom