Search results

  1. t blj

    Nani anahusika na mfumo wa malipo wa serikali - GEPG?

    Habari wakuu, Kwa wanafanya malipo ya serikali watakubaliana nami kuwa, mfumo wa kulipia na kuhakiki malipo wa serikali " government e payment gateway" (GEPG), haufanyi kazi vizuri kwa takriban mwezi sasa! Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa kufanya na kuhakiki malipo ya serikali. Ni...
  2. t blj

    Mtandao airtel shida Nini?

    Wakuu toka jana usiku simu yangu laini ya airtel haina network , najaribu kupiga namba za airtel kupitia laini ya back up nazo haziendi , mwenye taatifa zaidi tafadhali
  3. t blj

    IT Experts wa Airtel Mnafeli wapi?

    Sijui hesabu zimepigwa kwa kutumia kikokotoo kipi
  4. t blj

    Kununua bidhaa za electronic online

    Wadau nataka kununua bidhaa za electoonic hasa simu, kutoka nje ya Tanzania. Hii imetokana na ukweli kuwa maduka ya vitu vya Electronic hapa Bongo kustock bidhaa za Brand fulani pekee, kimsingi hakuna user option nyingi in terms of gadgets Brands, nimejaribu E bay, inaonekana hawa ship Tanzania...
  5. t blj

    Kuna ugumu gani kwa luninga za kwenye vyombo vya usafiri kuonyesha majarida (documentary)

    Siku moja ,Nilipanda basi la mkoani (sio TZ),bus attendant akaweka documentary film ,nakumbuka jinsi abiria walivyokua wakibadilishana mawazo kutokana na facts zilizokua zinasimuliwa kwenye documentary ile,(sijaikumbuka jina ila ilikuwa kuhusu tafiti za kisayansi) , wakati wa kurudi nikapanda...
Back
Top Bottom