IT Experts wa Airtel Mnafeli wapi?

t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
6,371
14,766
Sijui hesabu zimepigwa kwa kutumia kikokotoo kipi

Screenshot_2020-08-04-11-10-56-64.jpg
 
Hizo ni automatic messages zinazotumwa na software, kutokana na predifined conditions. Sasa hapo ni software ndio imeona hivyo na ni makosa ya condition statement kwenye software hiyo.

Condition zimewekwa kinyume, yaani ulichotumia ndio kimetajwa kama salio.

Dakika umetumia 14% umebakiwa na 86%
Wakati
Sms umetumia 1% , umebakiwa na 99%

😂😂
 
Kma jana Kupatana system yao ya email ilizingua wapi sijui. Wametuma email hyo hyo kma mara 50 hvi. Daah
 
Hizo ni automatic messages zinazotumwa na software, kutokana na predifined conditions. Sasa hapo ni software ndio imeona hivyo na ni makosa ya condition statement kwenye software hiyo.

Condition zimewekwa kinyume, yaani ulichotumia ndio kimetajwa kama salio.

Dakika umetumia 14% umebakiwa na 86%
Wakati
Sms umetumia 1% , umebakiwa na 99%

Hapo kweli wanatakiwa kuedit conditions za mfumo maana mfumo unapokea commands zenye IF functions zilizo na makosa.
 
Back
Top Bottom