Kununua bidhaa za electronic online

Kununua bidhaa za electronic online

t blj

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
7,196
Reaction score
17,185
Wadau nataka kununua bidhaa za electoonic hasa simu, kutoka nje ya Tanzania. Hii imetokana na ukweli kuwa maduka ya vitu vya Electronic hapa Bongo kustock bidhaa za Brand fulani pekee, kimsingi hakuna user option nyingi in terms of gadgets Brands, nimejaribu E bay, inaonekana hawa ship Tanzania, nafahamu kuwa unaweza kulipia kwa visa au paypal ,kwa wanaofahamu, naomba msaada wa mawazo yenu,pamoja na risks zake.
 
sasa unataka go ahead or? ebay wako poa tu kwa ninavyo sikia kwa walio wahi watumia. Ila ni simu gani hiyo uliyokosa bongo?
 
Wanaship tanzania bana.....pia tafuta my us adress
 
sasa unataka go ahead or? ebay wako poa tu kwa ninavyo sikia kwa walio wahi watumia. Ila ni simu gani hiyo uliyokosa bongo?

Motorola razr hd
 
Back
Top Bottom