Search results

  1. S

    Garage ya yenye wataalam wenye vifaa vya kisasa.

    Kama unataka mafundi bila kujali gereji zao zinafananaje nenda mabatini kuna mafundi wengi wachaga japo si wote ni wazuri sana..ila kama unataka gereji zenye muonekano mzuri na unaletewa na invoice kabisa nenda Fortes wako jirani na uhamiaji au Toyota wenyewe wako igogo
  2. S

    Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

    Mkuu kwenye issue ya ukoma walipukutika kishenzi vidole walikuwa wanaamini ni kurogwa na walitumia miti shamba hazikuwasaidia...walikuja kuokolewa wengi na mabeberu wa kimisionary walikuwa wanawaokota wametengwa na ndugu zao na kuwatengenezea makambi kuwapa dawa za kukausha vidonda sababu...
  3. S

    Mbeya: Mwekezaji ajinyonga baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na Maliasili, RC Chalamila acharuka asihusishwe

    Sasa mbona ikitokea anayetaka kujiua akanusurika serikali huwa inaingilia na kumfungulia mashitaka..si wangekuwa wanawaacha kwasababu alitaka kujia kwasababu zake mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. S

    Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

    Krismasi, pasaka, maulidi, idd el fitri mwaka mpaya hizi tena tutaingiza pesa nyingi sana
  5. S

    BRELA inakimbiza wawekezaji

    Ila ukiwafata washkaji wa brela siku mbili tu unapata usajili
  6. S

    RUKWA: RC aagiza walimu kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina

    Utaenda kumvua mtoto wa mtu hirizi chamoto utakiona vinginevyo uwe fiti na wewe kwenye ulozi au mcha Mungu kweli, lakini ukiwa mweupe unaweza kujuta maisha yako na familia yako ukaiponza...Wengine haya ni madhabahu yao wamehifadhi vitu vizito sana.
  7. S

    Je, huwa unafikiria kuhusu mifumo ya usalama kwenye gari kabla ya kununua gari?

    Da asante kwa Elimu kumbe tunakaa tunatishana oooh gari za ulaya sijui spea nk kumbe japan spea feki
  8. S

    Kulikoni Wamachinga walipie vitambulisho mara mbili?

    Jamaa hana cha kupoteza kwanza haitaji kupigiwa kura hiyo kauli ina tafsiri kubwa sana
  9. S

    Meya Raibu: Hakuna Corona Moshi, Haya ni Mashambulizi dhidi ya Uchumi wetu

    Hiyo shule nao wamekanusha tayari hii nchi majanga tu... kwa staili hii tutegemee kupigwa burn na nchi kibao
  10. S

    LATRA yakanusha kuanzisha tozo za magari ya kubeba maiti. Yasema magari madogo yanayokodishwa ndio yatatozwa

    Watu wengi wanatumia coster sana kusafirisha maiti na wasindikizaji hapo wamelenga pesa tu
  11. S

    Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    Sasa si ugawe 1150÷10.9= 109.5 so andaa kama lita 120 Hi, Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya Gari ni LAND CRUISER 200 VX Wagon V8 DIESEL...
  12. S

    Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    Hi, Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya Gari ni LAND CRUISER 200 VX Wagon V8 DIESEL AUTOMATIC 4WD. NB NAHIYTAJI UHALISIA NA UZOEFU ZAIDI...
  13. S

    Charlie Charlie is demonic challange?

    The conjuring Ouija original of evil The possession of Hannah grace The devil inside The exorcism of molly Annabelle comes home The exorcist Portergeist
  14. S

    Charlie Charlie is demonic challange?

    The dead dont die
  15. S

    Charlie Charlie is demonic challange?

    Na ilikuwa inakuja ajili ya watoto acha aiseee
  16. S

    Hii tabia Musoma inakera sana

    Mvua ziliharibu vibaya sana hapakua na beach tena kuanzia mativila beach tembo beach, bwalo la polisi vile vimisonge vilikuwa ndani ya maji mtaa wa uzunguni watu walihama maji yalikutana
Back
Top Bottom