Charlie Charlie is demonic challange?

Kulingana na historia ya huo mchezo
Charlie Charlie ni jina la mzimu au roho ya kishetani unayoikaribisha


Originally lilikua jina la mzimu wa mtoto aliyejulikana kama Charlie

But now ni utambulisho wa mzimu wowote ulio karibu

Hua wanaanza huo mchezo kwa maneno ya "Charlie Charlie are you there?"

Hapa una activate uwepo wa roho ya kishetani iliyo karibu yako

Then kama IPO,penseli ya juu itazunguka mpaka kwenye square yenye neno YES...kwa maana Nipo..

Kisha utauliza swali lolote unalohitaji na majibu yatakua katika mtindo huo Yes na No
(Boolean)
Ukitaka kuona effect ya mchezo huu nenda mahala panapo aminika kuwa na visa vya kutisha au mazingara..
Enjoy
Sasa mfano Mizimu ya Tanzania vijijini ambayo itakuwa karibu itakuwa inajua kiingereza!?
 
Kuna ubao una namba na herufi na maneno yes na no,unachofanya ni kuuliza kwenye ubao yale maswali ambayo majibu ni yes au no.wakati huo mkono wako uko kwenye ubao,iwapo umeuliza swali huku ukiwa unatrace yes na no kwa kitu maalumu na jibu mfano ni no mkono wako utasimama kwenye no.Ni mambo ya kiza kiza na ya hatari kuwasiliana na maroho
Huu mchezo usijaribu kucheza una masharti. Ubao wa Ouija.
Miongoni mwa sheria zake.

- Usiutumie ukiwa peke yako
-Usiutumie ukiwa nyumbani mwako
-Ukimaliza kukitumia ni lazima ukiage
-Kwa kuwa kina herufi na kina kitufe cha cha ubao cha kuongozea herufi zikitembea kwa kuonyesha herufi likapatikana jina la ZOZO katisha mchezo kiage sema kwa heri.
 
kwakweliii

mkuu huo ubao ni special au unaweza kutumia wakwako ukachora kama inavyotakiwa
Sina uhakika na hili. Ila ubao wake upo hivi:
Screenshot_20210113-114937.png
 
Huo mchezo ni mzuri kwa wanaobet
Unamuita huyo jini unauliza vp man u atashinda? Ikizunguka kwenye no unauliza tena man u atadroo ikizunguka kwenye no basi nenda kwenye mkeka weka man u kufungwa
Bora ufe huku unapata hela
Aiseee we jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom