Search results

  1. P

    Msaada tafadhali.

    Naomba mnielekeze kampuni inayouza vifaa vya kuendeshea kilimo kama vile power tiller, gasoline micro tiller, na pipe za kuvutia maji katika kilimo cha umwagiliaji
  2. P

    Ni nini hutokea ng'ombe akila kondo lake la nyuma? Na tunawezaje kumsaidia ng'ombe aliyekula kondo lake?

    Tarajia kupata sentensi kutoka kwa daktari ya kwamba 'sasa nyg'omba tayari kameza kondo, amebakiza mtoto na maziwa' itakuwa santi ya kishujaa saaaana.
  3. P

    Mbegu za malisho Lucerne, Boma Rhode, Masai Love Grass na Brachairia Grass

    Niko Butiama mara, nitazipataje hizi mbegu na mnaziuzaje?
  4. P

    Mbegu za malisho Lucerne, Boma Rhode, Masai Love Grass na Brachairia Grass

    Kwa wastani haya majani yanatoa tani ngapi kwa mwaka?
  5. P

    Mbegu za malisho Lucerne, Boma Rhode, Masai Love Grass na Brachairia Grass

    Kwa wastani hearings moja inatoa tani ngapi Kwa mwaka?
  6. P

    Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Jamani mimi niko morogoro mjini, naomba kama kunamtu anaeneo lililo karibu na mjini ambayo naweza kufanya shughuli za ufugaji wa kuku anikodishie.
  7. P

    Natafuta eneo lililo karibu na mjini la kufugia kuku wa nyama, niko mkoani Morogoro

    Ndugu wana JF, Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa pamba karibu na hospitali ya mkoa.
  8. P

    Simulizi: Hujuma, Sehemu ya Kwanza (1) Bahari ya Hindi

    Iko safi ni kweli kuwa viongozi wetu ndio vidonda kwetu
  9. P

    Naombeni mchanganuo kidogo kwa mtu ambae anafanya na tayari amefanikiwa kupitia hii biashara

    Kwa hiyo hii niachane nayo kabisa ata nisiifikirie sasa nipe wazo maana mimi natafuta mtu ambae anafanya biashara nami nifanyie naye kwa mda ndipo nami niweke yakwangu
  10. P

    Naombeni mchanganuo kidogo kwa mtu ambae anafanya na tayari amefanikiwa kupitia hii biashara

    Naomba ufafanuzi yakinishi kuhusu biashara ya mkaa kwa hapa dar es salaam. Upatikanaji wake, usafirishaji, soko, vibari na uhuru, uendeshaji, pia na mtaji ambayo naweza anza nao .
  11. P

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Mkuu vipi kuhusu solo la ng'ombe kiwandani na upatikanaji wa viwanda nchini ??
  12. P

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Kwani inayoangaliwa ni overall GPA au ni mwaka wa mwisho?
  13. P

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Kwani GPA inayoangaliwa ni overall GPA au ni ya mwaka wa mwisho?
  14. P

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Asante sana na pale waweza pata mpaka mkopo
  15. P

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Samahani jamani kama una diploma ya business unataka kuwa na GPA ya ngapi ili kujiunga na institute of business kwa bachelor apo UDSM?
  16. P

    House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga - Njombe

    Samahani wana JF naelekea njombe naomba msaada wa bei za nyumba za kupanga likizo karibu na hospitali ya mji wa njombe(mkoa)
Back
Top Bottom