Petro Stanislaus Fu
Member
- Nov 29, 2020
- 76
- 53
Naomba ufafanuzi yakinishi kuhusu biashara ya mkaa kwa hapa dar es salaam. Upatikanaji wake, usafirishaji, soko, vibari na uhuru, uendeshaji, pia na mtaji ambayo naweza anza nao .
Kwa maelezo ya nadharia ni biashara yenye faida kubwa, lakini ukiingia ndio utaelewa somo.Naomba ufafanuzi yakinishi kuhusu biashara ya mkaa kwa hapa dar es salaam. Upatikanaji wake, usafirishaji, soko, vibari na uhuru, uendeshaji, pia na mtaji ambayo naweza anza nao .
Vipi wewe umeshawahi kuifanya?Kwa maelezo ya nadharia ni biashara yenye faida kubwa, lakini ukiingia ndio utaelewa somo.
Binafsi sijaonaga mtu anayedeal na mkaa mwenye maendeleo.
Kuna mama mmoja mtaani kwangu alikuwa anashusha Fuso zima na anauza hadi anamaliza na analeta Fuso nyingine lakini maisha yake ni duni tu.
Nahisi hii biashara ni kama ina laana maana unachoma nature, miti ina roho, miti ina uhai, miti inanena.
Siwezi kufanyabiashara za hivyo, nafanya kitu ambacho kina role model wa mfano kimafanikio, unamjui nani mwenye mafanikio kupitia biashara ya mkaa? Ile miti inalia huwezi kufanikiwa.Vipi wewe umeshawahi kuifanya?
Sio laana per say, ni biashsra ngumu mahesabu ni complicated faida huwezi kuionaKwa maelezo ya nadharia ni biashara yenye faida kubwa, lakini ukiingia ndio utaelewa somo.
Binafsi sijaonaga mtu anayedeal na mkaa mwenye maendeleo.
Kuna mama mmoja mtaani kwangu alikuwa anashusha Fuso zima na anauza hadi anamaliza na analeta Fuso nyingine lakini maisha yake ni duni tu.
Nahisi hii biashara ni kama ina laana maana unachoma nature, miti ina roho, miti ina uhai, miti inanena.
Hakuna biashara isiyokuwa na faida, usipoona faida ndio mauzauza yake hayo, miti inalia machozi kabisa, utafanikiwa vipi?Sio laana per say, ni biashsra ngumu mahesabu ni complicated faida huwezi kuiona
Kwa hiyo hii niachane nayo kabisa ata nisiifikirie sasa nipe wazo maana mimi natafuta mtu ambae anafanya biashara nami nifanyie naye kwa mda ndipo nami niweke yakwanguHakuna biashara isiyokuwa na faida, usipoona faida ndio mauzauza yake hayo, miti inalia machozi kabisa, utafanikiwa vipi?
Kuna matambiko yanafanyika kwenye miti polini wewe unakuja unakata unachoma mkaa, unategemea nini?
Waangalie hata mafundi seremala walivyoolaanika.
Kwahiyo kiufupi ni biashara ngumu sana mkuu.Hii biashara banaa..
Nilifanya hii biashara 2009-2012.
Nilikua na mtu anafuso linapita njia zenye mkaa kwa bei fair. Kila baada ya siku 3 alinishushia gunia 4-6-8. Mimi niliuza 2.5 X Price, so it was paying. Unaweza usielewe ila ilinipa hela nzuri kiasi cha kununua shamba ekari 10 morogoro na maisha yaliendelea. Usishangae kwanini shamba, kwanini morogoro, nilikua na ndoto. Japo shamba lenyewe nilishadhulimuwaga nikamuachia Mungu. Nitaletea uzi siku nyingine.
Kwanini nilipakia gunia chache kwa safari.
We waangalie hao maliasili uwaache ivo ivo, usiombe ujae kwenye 18 zao. Hao wanaroho ngumu kama askari wa ujangili. Kwahyo gunia chache ni rahisi kusema za matumizi ya nyumbani, mbili za tajiri, mbili za dereva, mbili za utingo, et al.
Pasua kichwa kwenye hii biashara.
Ukifanya kiharamia, bila vibali, maliasili wakikama ni wewe, mkaa, gari, vyote vinakua kizuizini. Kwahiyo inabidi umwage mpunga mwingi kusurvive na uharamia. Ndio maana wauza mkaa hawaendelei.
Ukifanya kwa vibali, kibali cha maliasili ni pesa mingi na kinakaa siku chache, kwahyo kuna wakati kina expire bado uko porini unakusanya mkaa, ukiwa unarudi wakikukamata imekula kwako. Ndio maana wauza mkaa hawaendelei
Lakini pia ukifanikiwa kupata mkaa kwa hicho kibali ndani ya wakati, wakikukagua wakakuta kipo valid wanatakiwa wakisign ili usikitumie tena, kama ticket ya mwendo kasi inavochanwa ili isirudiwe. Sasa kwa gharama ya kile kibali, ukikitumia mara moja huioni faida ya mkaa. Kwahyo lazima umwage tena mpunga wakutosha ili kisisainiwe ukitumie mara nyingine.
Harakati za mtu mweusi zina mengi sana
Ila hii isikukatishe tamaa, hakuna gumu kabisa, yote yana uwezekano kwa namna flan. Sometimes you gotta chil with the men on high table, na mambo yataenda au tumia mbinu zozote ujuavyo wewe.
Samahani lakini, umetaka achangie alifanya na kufanikiwa. Me nilifanya ila sikufanikiwa, nimejipendekeza kiaina
NENDA PALE MBEZI KIBANDA CHA MKAA PALE KAULIZIE WADAU UTAPATA MAWILI MATATUNaomba ufafanuzi yakinishi kuhusu biashara ya mkaa kwa hapa dar es salaam. Upatikanaji wake, usafirishaji, soko, vibari na uhuru, uendeshaji, pia na mtaji ambayo naweza anza nao .
Mkuu hacha masihara watu wananunua mpaka magari na kujenga mijengo ya maana kupitia biashara hii.Kwa maelezo ya nadharia ni biashara yenye faida kubwa, lakini ukiingia ndio utaelewa somo.
Binafsi sijaonaga mtu anayedeal na mkaa mwenye maendeleo.
Kuna mama mmoja mtaani kwangu alikuwa anashusha Fuso zima na anauza hadi anamaliza na analeta Fuso nyingine lakini maisha yake ni duni tu.
Nahisi hii biashara ni kama ina laana maana unachoma nature, miti ina roho, miti ina uhai, miti inanena.
Wewe fanya ufikie mafanikio makubwa kuna watu watakuja kuifanya kwa kua wewe ndie role model wao kwa biashara hiyo.Siwezi kufanyabiashara za hivyo, nafanya kitu ambacho kina role model wa mfano kimafanikio, unamjui nani mwenye mafanikio kupitia biashara ya mkaa? Ile miti inalia huwezi kufanikiwa.
Kwanza ukiona Muhindi au mchaga hana mpango na hiyo biashara jiongeze.
Una mafanikio gani?Mkuu hacha masihara watu wananunua mpaka magari na kujenga mijengo ya maana kupitia biashara hii.
Mleta mada nakushauri tafuta sehemu iliyo changamka kama centre au magengeni uanze biashara yako muhimu uwe mchangamfu na uwape nyongeza wateja wako.
Mimi nimeifanya ndio biashara iliyo nifanya nipate mafanikio makubwa sana.
Mkuu kufikia hatua ya kununua kiwanja na kujenga sio mafanikio madogo kwa dunia ya sasa , kwa ufupi nimefanikiwa vyema sana mpaka sasa mafanikio ni mengi nazidi kutanua wigoUna mafanikio gani?
Mkuu kufikia hatua ya kununua kiwanja na kujenga sio mafanikio madogo kwa dunia ya sasa , kwa ufupi nimefanikiwa vyema sana mpaka sasa mafanikio ni mengi naizidi nazidi kutanua wigo
Ukute nyumbani kwako unamiliki kitanda Cha mninga, kabati ya mninga, meza ya mninga na viti vya mninga.Kwa maelezo ya nadharia ni biashara yenye faida kubwa, lakini ukiingia ndio utaelewa somo.
Binafsi sijaonaga mtu anayedeal na mkaa mwenye maendeleo.
Kuna mama mmoja mtaani kwangu alikuwa anashusha Fuso zima na anauza hadi anamaliza na analeta Fuso nyingine lakini maisha yake ni duni tu.
Nahisi hii biashara ni kama ina laana maana unachoma nature, miti ina roho, miti ina uhai, miti inanena.
Nilipo ona swali lako nikajua tu utaleta dharau nikikujibuUkute nyumbani kwako unamiliki kitanda Cha mninga, kabati ya mninga, meza ya mninga na viti vya mninga.