Search results

  1. waco1920

    Je, tafsiri nyingine ya sheria inayoongoza Bunge letu, ni ipi nje ya hii iliyotumika kumuadhibu Sophia Simba?

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
  2. waco1920

    Angalizo kwa CCM: Zoa zoa ya wapinzani ni kutengeneza bomu la atomic

    Nimewiwa kutoa tahadhari kwa Chama tawala na pendwa! Cha CCM juu ya nguvu hii kubwa inayotumika kuwavuta ndani ya chama viongozi au wanachama wenye ushawishi kutoka katika Vyama vya upinzani. Kwa wakati huu, kwa sura moja tunaweza kuona Kuwa ndiyo njia pekee ya kutumia ili kuvidhoofisha au...
  3. waco1920

    Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    Hayo uliyoyabainisha ni kweli ndiyo yalikuwa msingi wa matokeo yaliyotokea. Lakini yafaa ujue pia kuwa, kwa kufuata msingi wa Katiba na Kanuni za CHADEMA watuhumiwa walikuwa na haki zote za kujieleza na kutetea njia/mbinu walizotumia hadi kupata hizo zinazoitwa nyaraka za chama za kuthibitisha...
  4. waco1920

    Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    Naomba nikili kwa lugha zote kuwa katika wanasiasa waliopo katika Taifa hili, hakuna mwanasiasa mwingine mwenye weledi uliopea na mwenye uwezo wa kucheza namba zote uwanjani kama Mwenyekiti wa CHADEMA. Ndugu, MBOWE. Mhe, MBOWE ni mtu pekee kwa ambaye katika miongo Zaidi ya mitatu ameweza...
  5. waco1920

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Ukiangalia sintofahamu na matukio ya kihuni yanayoendelea ndani ya CHADEMA na katika Taifa hili, kwa ujumla wake ukiangalia katika macho ya kiroho, utagundua kuwa uwepo wa changamoto hizi zinazopitiwa na Chadema, hauna tofauti na zile ambazo wana wa Israeli walizipitia wakati wakitoka katika...
  6. waco1920

    Pisi za kidimbwi zinakuwaga wapi mchana?

    Umenena kweli jamaa yangu. Tena bora hao wanaondoka na bolt! Wengine ukikutana nao njiani wanachapa rapa kama wanaenda msibani ila wakishafika huko wanakuwa watu tofauti kabisa!
  7. waco1920

    Natafuta mwanamke wa kuwa mke wangu, miaka 26 hadi 32

    ;););) Weeee! mimi ni lijali ndugu yangu. Na pindi atakayekuwa amepata nafasi hiyo nitamleta hapa na kuishukuru management ya JamiiForums..................
  8. waco1920

    Natafuta mwanamke wa kuwa mke wangu, miaka 26 hadi 32

    Hahaaaaa! Nimepokea Boss wangu.
  9. waco1920

    Uchaguzi 2020 Kamati ya amani yaazimia kuwe na siku tatu za kufunga ili kuombea uchaguzi upite kwa amani

    Zikiwa zimesalia takribani siku nne tu kuelekea siku ya kupiga kwa ajili ya kumpata kiranja Mkuu wa taifa letu pamoja na wawakilishi wetu katika mjengo wa kutunga sheria, kuna viashiria kadhaa vinavyojionesha kutaka kupoka amani na utulivu ambao watanzania tumekuwa nao kwa miaka mingi sana...
  10. waco1920

    Natafuta mwanamke wa kuwa mke wangu, miaka 26 hadi 32

    Wajuaje kama sijakuwa humu hata kabla wewe hujazaliwa?
  11. waco1920

    Natafuta mwanamke wa kuwa mke wangu, miaka 26 hadi 32

    Hahaaaa! vp tena mbona una panic? huko kwenye thread nimeeleza kama hayakuhusu bora upite tu! Kwangu, hivyo ndivyo vigezo ninavyovitaka.
  12. waco1920

    Natafuta mwanamke wa kuwa mke wangu, miaka 26 hadi 32

    Kwani unafuikiri unatakiwa ukae miaka mingapi ndipo utafute mke humu! hapa tunakutana halafu tunafugana nje ya hapa dada!
  13. waco1920

    Natafuta mwanamke wa kuwa mke wangu, miaka 26 hadi 32

    Habari marafiki zangu wa kwenye uwanja huu wa mahusiano! Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48 ambaye nina watoto tayari. Niliachana na aliyekuwa mke wangu miaka 8 iliyopita na hadi sasa nipo huru. Kutokana na uhitaji wa mtu kama huyu, ndiyo maana nakuja hapa kushare na wenzangu. Kama kuna...
Back
Top Bottom