Search results

  1. K-killer

    Led sony bravia 32 inch for sale @650000

    contact me here in JF if interested
  2. K-killer

    Plot inauzwa sinza, opposite lion hotel

    Plot inauzwa yenye ukubwa wa square meter 1540, ipo maeneo ya sinza kumekucha opposite lion hotel. Now inatumika kama garage, na hamna structure yoyote iliyojengwa,suitable for a hall,hotel or yard. Bei yake ni mil900 maongezi yapo, wasiliana na namba hii kama mpo interested 0715411129
  3. K-killer

    Wafanyakazi wanaitajika kwa ajili ya kampuni ya usafi

    Wafanyakazi wote ambao wamesomea veta mambo ya usafi wanaitajika na kampuni mpya inayoitwa sparklean ltd company, ambayo inaanza kazi rasmi mwezi wa pili. Wafanyakazi wote ambao wanadhani wanaweza kufanya kazi za usafi wawasiliane na mtu mwenye email hii: akramss45@gmail.com
  4. K-killer

    Mnyika anaomba Ushirikiano wenu kwenye hili

    Kutoka tweeter; Kwa wale wanaotaka kushiriki na kuongeza nguvu ktk kampeni zetu za CHADEMA Vijibweni-Kigamboni wasilianeni na:Kilewo 0714225960/0756091748
  5. K-killer

    Maoni ya Zitto Kabwe jana 10 March, Arumeru

    Ardhi, Maji na Ajira kuamua Ubunge Arumeru Mashariki Uchaguzi wa Ubunge Arumeru Mashariki ni kipimo cha namna wananchi mnavyoridhika na watawala, namna mnavyoridhika na mgawo wa Ardhi na namna mnavyoridhika na mgawanyo wa Maji katika Wilaya yenu. Haya yalikuwa baadhi ya maneno yangu katika...
  6. K-killer

    Kwanini wanafunzi wengi wanafeli?unajua kunanini nyuma ya pazia??

    Habari zenu wakuu,imekua ni jambo la ajabu sana kua unaweza kuona baadhi ya wanafunzi huwa wanafaulu karibu mihula yote wanayokuaga darasani na vidato mbali mbali lakini inakuaga vigumu sana wanafunzi hawa kufaulu form4 au form6 hata kama wanaakili au hufaulu kwa wastani basi wakifika form4 au...
  7. K-killer

    Kwanini wanafunzi wengi wanafeli?unajua kunanini nyuma ya pazia

    Habari zenu wakuu,imekua ni jambo la ajabu sana kua unaweza kuona baadhi ya wanafunzi huwa wanafaulu karibu mihula yote wanayokuaga darasani na vidato mbali mbali lakini inakuaga vigumu sana wanafunzi hawa kufaulu form4 au form6 hata kama wanaakili au hufaulu kwa wastani basi wakifika form4 au...
  8. K-killer

    Kwa wana jf

    I mite be a cat/machine/human or any asset but as long as I live in TANZANIA I bliv I nid a change in my country,and it shud start within us..I bliv am in the right place...I av been reading this forum fo years now but I bliv ths I high tym that I join my contribution..I know 2getha we can and...
Back
Top Bottom