Plot inauzwa sinza, opposite lion hotel

Plot inauzwa sinza, opposite lion hotel

K-killer

Senior Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
147
Reaction score
28
Plot inauzwa yenye ukubwa wa square meter 1540, ipo maeneo ya sinza kumekucha opposite lion hotel.

Now inatumika kama garage, na hamna structure yoyote iliyojengwa,suitable for a hall,hotel or yard. Bei yake ni mil900 maongezi yapo, wasiliana na namba hii kama mpo interested 0715411129
 
Mbona hapo Prof. Tibaijuka kwa kushirikiana na Diwani wa Sinza waliweka kibao cha kuonyesha kuwa ni open space garage inatakiwa ivunjwe au umeshawatuliza wahusika?
 
Sio kiwanja chote, ni a quarter of the plot ndo open space, bt hizo sqr meter 1540 zimepimwa na nikiwanja halali.

You can as well confirm wizarani.
 
Mbona hapo Prof. Tibaijuka kwa kushirikiana na Diwani wa Sinza waliweka kibao cha kuonyesha kuwa ni open space garage inatakiwa ivunjwe au umeshawatuliza wahusika?

Duh mjini hapa watu hawana huruma kumbe unaweza pigwa 900m hatari sana
 
Usilolijua sawa na usigu wa giza, we unafikiria kila ileyekuepo humu tapeli?

Ila sio kosa lako, upeo wako wakufikiria ndipo ulipoishia
 
Mbona hapo Prof. Tibaijuka kwa kushirikiana na Diwani wa Sinza waliweka kibao cha kuonyesha kuwa ni open space garage inatakiwa ivunjwe au umeshawatuliza wahusika?

Kuna plots hasa Sinza Prof Tibaijuka anasema zina hati ila kwa mujibu wa ramani halisi ni open spaces.
 
Kutoka Sinza kijiweni-Uzuri road mpaka pale sweet corner...kuanzia wenye nyumba wamekaa kitapeli sana. Yaani hata kupanga chumba wanaweza kukutapeli, sembuse kiwanja/eneo!
 
Sasa kama zina hati na zipo open space inakuaje u can do a plot research na bado hapo hapo wizarani wanasema it is a valid land na inamilikiwa na mtu..

Nadhani mnachanganya mmbo, mjue kutofautisha open space na aradhi ya mtu anayomiliki. Acheni majungu, mtabaki kupiga domo wenzenu wanatusua kiulainiiiiiii...
 
Maeneo hayo ni ya kuangalia sana mtu assiingizwe mjini. Labda muuzaji atoe maelezo ya kutosha mfano plot imepimwa na ina hati, etc
 
Hivi Shilingi ya Tanzania imekuwa kama dollar ya Zimbabwe, Shs 900M kwa kiwanja.....bwooy!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom