Search results

  1. K

    Mnaosema mnajisikia ovyo, mbona mkijisikia vizuri hamsemi?

    Mara nyingi binadamu tumekuwa na kawaida ya kusema, leo najisikia ovyo ovyo yaani sijui hata nifanye nini?. mbona huwa hatusemi Leo najisikia vizuri naweza kufanya lolote ama chochote
  2. K

    Aiseee maisha haya; Nimelima ekari 2, nimevuna gunia 6 tu

    Nilikuwa nimelima mahindi ekari 2, Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata gunia 6. Nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka kwenye magunzi. Cha ajabu kwangu ni ajabu bajaji/ Toyo limefika kijijini kuna zuio la mtendaji wa...
  3. K

    Nifate inbox/ Njoo inbox

    huwa napata tabu ya kuwaza, unakuta munalo group la WhatsApp ama la kazini sasa utakuta mpo mnajadili jambo fulani, anatokea mmoja wenu anasema wewe Y nifate inbox ,hapa mie ndiyo hunipa ukakasi kwani huyo Y huna namba zake hadi umuombe kukufata inbox kupitia Group ?? au nikutaka kututangazia...
  4. K

    Kwanini ni vigumu kwa baba kusema matatizo ya mama wakati kwa mama ni rahisi?

    kwanini mama anaweza kuwaeleza watoto matatizo ya baba, mfano "Baba yenu ana kimada fulani sehemu fulani," lakini kwa baba yaweza kuwa ni vigumu kuwaambia watoto kuwa chanzo cha ugomvi wetu na mama yenu ni kwa vile mama yenu ana mwanaume wa pembeni?
  5. K

    Majina ya vimbunga

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza haya majina ya vimbunga. Mfano hicho kimbunga huko Nchini Zambia kinaitwa FREDDY miaka ya Nyuma kulitokea vimbunga Nchini Marekani wajuvi wanapenda kupaita U.S.A vimbunga vilikuwa na majina Catalina na mengine nimesahau. Hoja yangu ni kwa nini vimbunga hivi...
  6. K

    Bongo zozo

    Mbio za Roma , Bongo zozona bendera ya taifa letu wabongo tuna kazi bado
  7. K

    Huyu ndugu ananikera kwa tabia hizi

    Moja kwa moja kwenya mada tajwa, nina ndugu yangu kiumri ananizidi, ni kaka yangu ki ukoo, mtoto wa baba mkubwa, baba zetu wana changia baba (babu yetu) mmoja mama tofauti. Anaishi nje kidogo ya mji ninapoishi mimi (mjini). Sasa imekuwa ni kawaida yake kufika kwangu, leo mara ya 3 anafika saa 3...
  8. K

    Napenda kwenda nchini Marekani

    Mie ni mtumishi wa serikali (halmashauri ya wilaya) umri wangu umesonga mbele natarajia kustaafu, hivyo basi kabla sijastaafu napenda kutembelea nchini Marekani maarfu USA. Naombeni mnijuze Kwa kifupi hasa nikifika ubalozi hapo Dar es Salaam maafisa wa ubalozi wataniuliza maswali yapi...
  9. K

    Huenda sie wenye vipara asili yetu siyo Nyani

    Historia inatukumbusha (ki sayansi sifahamu) asili yetu zama za kale asili yetu ni Nyani. Sasa napata tabu, najiuliza sana huenda sie wenye vipara asili yetu siyo Nyani, kwa vile mie binafsi sijawahi ona Nyani mwenye kipara.
  10. K

    Naomba kujuzwa asili ya binadamu hasa mweusi

    Kama asili yetu hasa sie binadamu weusi kama historia inavyoeleza sifahamu upande wa sayansi tulitokana na mnyama nyani. Napata shida kufahamu ama sijawahi ona mnyama Nyani mwenye Kipara, au Nyani Albino. Nawasilisha, aidha mwenye uelewa na hili anifahamishe hata Kwa picha tu.
  11. K

    Mwenye katuni la James Gayo

    Nakumbuka miaka ya 1997 nilikuwa nasoma gazeti la majira ,nilikuwa navutiwa Sana na katuni za mchoraji James Gayo ,hasa picha za KINGO ni siku nyingi sipo huko mjini na Hulu kwetu hakuna husuma ya magazeti ombi kwa walioko mjini mwenye hiyo michoro ya James Gayo aiweke hapa hapo nikumbukie tu,
  12. K

    Nchi jirani na Tanzania Kuna viongozi raia wanaotuhumiwa kuwa ni watanzania?

    Wajuzi na waelewa wa mambo nimekuwa nikijiuliza mwenyewe bila kupata majibu, kwenye nchi tunazopakana kimpaka Kuna viongozi waliopo madarakani au hata huko kwenye upinzani wao Kuna kiongozi yeyote kwenye hizo nchi jirani ambaye ni mhisiwa kuwa si mzawa wa nchi hiyo lakini ni mhisiwa kuwa ni...
  13. K

    Jamaa amenisimulia nimehuzunika sana aidha nimecheka sana

    Alienda semina mji Fulani yeye Ni mtumishi idara fulani Halmashauri fulani, kwa kuounguza gharama , alionelea kwenda kulala kwa mjomba wake mwenye mke na watoto. Aliandaliwa chumba chake japo kitandani alilala na mtoto mwenye umri wa miaka 6. Usiku mtoto alikojoa kitandani na akaamuka kumwita...
  14. K

    Kero za WhatsApp

    Ni kero zipi unakumbana nazo kwenye magroup mbalimbali ya WhatsApp uliyopo Hadi unatamani ku left.
  15. K

    Kumbe kuzaa sana sio Uzazi wa Mpango?

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na mchangiaji mmoja yeye kaweka na picha. Akichangia siku/ wiki ya unyonyeshaji watoto. Kifupi yeye anamshanga mama mmoja akiwanyonyesha watoto wake wa umri wa miezi 6 wote wakiume. Aidha aliongea na mama huyo na mama alimweleza kuwa huo ni uzazi wa 15...
  16. K

    Huyu Paka ajiandae kuhama hapa nyumbani kwangu

    Kichwa Cha habari chahusika nilimleta Paka jike akiwa kinda kwa madhumuni akikua afanye kazi ya kuwapa adabu Hawa panya walioko stoo, nikawa namlisha kila alichotaka na Hadi Sasa nampa chakula akiwa mnyama mzima. Cha ajabu panya ndo wanazidi kuongezeka idadi, kilichonikera ni kitendo Cha huyu...
  17. K

    Hakuna Watangazaji wa TV wa Kitanzania wanao ripoti taarifa kama walivyo kina John Odhiambo wa Uganda?

    Kama nilivyoanza napenda kujua, Watangazaji wa kitanzania wanao ripotia taarifa za habari kwenye TV za Kenya ,Uganda ,Burundi na hata Rwanda? Kwani ningekuwa nikiangalia channel za nje bila kusikia mtanzania akiripoti kwenye TV za nje Kama walivyo kina John Odhiambo wa ITV Uganda, Ndankan...
Back
Top Bottom