Kwa anayeuza Huawei Mate 7 tuwasiliane. Muuzaji na awe mkoa wa Dodoma au Morogoro kwa kuwa itakuwa ni virahisi kwangu kuiona hiyo simu na kufanya biashara.
Huyo bibi harusi ni zaidi ya masupa staa hawa wa kibongo, alikuwa ni video queen huko kwa Obama kafanya video nyingi na akina T.I, 50 cent na Rick Ross..humu kuna hii thread ilishawahi kuwazungumzia au google jina lake ka utakuwa upo interested kumfahamu.
Sio ndo ataongeza tatizo? Akitokea kupenda timu af matakeo ya hiyo timu yawe sio mazuri .. Akishabikia timu ka yangu ya Liverpool ataishia kuongeza tatizo, ka ana roho nyepesi.
Mwisho wa siku mdahalo utasaidia nini? Watanzania sidhani ka huwa wanapiga kura kwa kuangalia sera za chama. Asilimia kubwa hata kama kampeni hazijaanza anajua atapiga kura kwa chama gani.
We mwenyewe nina uhakika hadi sasa tayari kura yako ipo kwa chama gani 2015 hata kama kuna chama kingine...
Hongera sana kwa kupata ''promo ya bure'', wengine hadi wanakuita jembe, kamanda, woman of the year nk.. Ndo najiuiliza kwa issue gani ya maana uliyoifanya hadi sasa wakati kwenye ulimwengu wa siasa umaarufu umeanza kuupata hadi miezi haijafika na hasa kupitia jina la Wasira.
Nadhani alitaka kusema hostel walizopangiwa wanafunzi wanakaa ground flow na floor ya kwanza, kuanzia ya pili na kuendelea hazina watu waliopangiwa...
Nadhani itakuwa wamefanya hivyo kwa kuwa vyumba ni vingi kuliko wanafunzi, au mwaka wa pili na wa tatu bado hawajaripoti, wakija watakaa sehemu hz.
Kumbe umeleta ili upewe msaada, sasa unachowabishia watu wanakupa msaada nini? Nadhani umeileta ukitegemea raia watapiga madongo kumbe sio..Watu wanamaliza shule hawajui kusoma na kuandika, sishangai pamoja na wewe kupitia JKT haukujua hata kupiga hiyo salute.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.