Search results

  1. Jifunafu

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Wanajanvi Salaam, Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia. Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda kufanya kilimo Cha mahindi. Wadau kama mnakumbuka mwaka jana nilileta Uzi hapa uliosema, NAITAJI...
  2. Jifunafu

    Nahitaji mtu wa kushirikiana katika kilimo

    Ndugu wanajanvi Salaam, Nahitaji mtu alie na shamba tushirikiane Mimi nitaweka nguvu zangu na usimamizi asilimia zote endapo yeye atakuwa na majukumu mengine. Lengo langu ni kupambana na kupata mtaji. Napendekeza zaidi katika kilimo Cha mazao kama vile Mahindi na Mananasi kwani hapo ndo nina...
  3. Jifunafu

    Natafuta mke wa kuoa

    Ndugu wanabodi, Lejea kichwa Cha habari hapo juu. Mimi nina umri wa miaka 38 yrs old Elimu. Diploma holder Kazi. Biashara Eneo. Rock City (Mwanza) Dini. Christian Nina mtoto mmoja ingawa Sina mke. SIFA ZA MKE NINAE MUITAJI. 1.Awe dini yoyote ya isipokuwa muisalm, hata kama ni muisalm awe...
  4. Jifunafu

    Je, hiki kirutubisho cha super gro kina matokeo mazuri katika mzao?

    Wanajanvi Salaam, Matumaini ni muda muafaka wa kuingia shamba. Mimi ni mkulima wa mahindi lakini Kwa musimu huu naitaji kubadili kilimo. Mwaka huu nitajikita katika kilimo Cha mpunga. Nikiwa katika pita pita za maduka mbali mbali ya pembejeo nimekutana mdau mmoja akanieleza kuhusu hii Busta ya...
  5. Jifunafu

    Naombeni ushauri kwa waliotumia mbolea ya maji ya super gro

    Ndu Wana jamvi, Mimi ni mkulima na msimu wa kilimo ndo huu umewadia. Mwaka huu naitaji kubadili muelekeo Nina achana na kilimo Cha mahindi nataka kuelekeza nguvu Katika kilimo Cha mpunga Katika maandalizi yangu ya pembejeo nimekutana na wakulima wenzangu wakinishauri kutumia hii mbolea ya...
  6. Jifunafu

    NSSF Mwanza njooni mjibu hizi tuhuma

    Wanajamvi aslam, Ni kitu kilichonishangaza na kunisikitisha katika ofisi ya NSSF Mwanza pale nilipo kwenda kutaka kufungua madai yangu ya kuchukua fedha katika mfuko huo. Kilichonishangaza ni pale kuambiwa nalipia elfu kumi kwa ajili ya kurekebisha jina katika kadi yangu ya uanachama...
  7. Jifunafu

    Nimefika Katavi na kujionea jinsi watu wanavyotajirika kupitia Kilimo

    Wanajamvi Aslam, Hama baada ya salamu ndugu zangu Ile safari yangu ya kwenda mji wa Mpanda kuona fursa za kilimo imetimia. Nilipata nafasi ya kutembelea baadhi ya vijiji tofauti tofauti Kwaajili ya kuangalia maeneo, ni kweli natoa ushuhuda kwamba kilimo kimetajilisha watu wengi hususani Mji wa...
  8. Jifunafu

    Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

    Wakuu, Leo nimetembelea maonyesho ya wakulima hapa rock city na nikapita mabanda mbali mbali ya wauzaji na wazalishaji wa mbegu Bora za aina mbali mbali. Kilicho nivutia ni Hawa kampuni ya mbegu za mahindi ya DIKALEB,jamaa wana mbegu Bora na za kiwango Cha juu. Ninapenda kulima zao hili na...
  9. Jifunafu

    Kama uko tayari kuingia shamba msimu huu wa kilimo karibu tuunganishe nguvu kazi

    Ndugu wanajamvi, Kama uko tayari kuingia SHAMBA msimu huu wa KILIMO karibu tuunganishe nguvu kazi,twende tukampige mkoloni Kule Katavi. Kama na wewe uko tayari na unayo nia kutoka moyoni na unachokianzio kidogo karibu tuunge nguvu twende tukalime mahindi katavi msimu huu unaoanza. Hapa ni...
  10. Jifunafu

    Manukato yageuka kuwa kero kwangu na kunipa kichefu chefu nahisi kutapika

    Wanajamvi, Imenitokea muda huu, hapa nimeianza safari yangu lakini umegeuka kuwa chungu na sijui huyu mwamba anashukia wapi angalau nipumue. Uyu mwamba ni ustadh na itakuwa ni swala Tano, Yani amegonga manukato makali kweli Yani baada ya kukaa tu Hali yangu umegeuka ghafla na nimeianza kupiga...
  11. Jifunafu

    Nahitaji kwenda kuanzisha kilimo mkoa wa Katavi

    Ndugu wanajamvi, Ni siku nyingine ndugu zangu tumeamka salama na pilika za kusaka mkate wa Leo. Husika na madam hapo juu, ndugu zangu nimeamua kuja kwenu kupata mawazo ya namna ninavyoitaji kuingiza katika kilimo hususani kilimo Cha mahindi na maharage. Katika kuangalia mikoa nilivutiwa Sana...
  12. Jifunafu

    Kwa hili natamani kuacha kazi, nikimbilie nchi za asali na maziwa

    Ndugu wanajanvi, Natumaini muda huu kila mwemye pumuzi Yuko katika harakati za kusaka mkate wa Kila siku, wakati huo sisi pia huku tukifuta mavumbi ya chaki kwa kuandaa viongozi wa badae katika Taifa hili. Kiukweli Mimi nimekuwa ni mfatiliaji mzuri sana wa JF na hususani kujua furusa mbali...
  13. Jifunafu

    Mimi ni mwajiriwa mpya, ninahitaji mkopo

    Ndugu wanajamvi, natumaini mu wazima katika harakati za hapa na pale za kusaka mkate. MIMI ni muajiriwa mpya kada ya ualimu msingi. Naombeni kusaidiwa abc kuhusu ni vipi nitapata MKOPO wa kifedha na ni wapi wanatoa kwa riba nafuu. Pia ni nyaraka zipi zinaitajika kupata MKOPO huo, maana sijapata...
  14. Jifunafu

    Msaada wa ushauri kwenu wanajamvi

    Kichwa cha habari chajieleza, mimi ni Mtanzania nipo wilaya ya Kasulu huku vijiji vya ndani kabisa. Ninahitaji kufungua ofisi ya kuchaji simu, kurusha nyimbo kwenye simu na kubarn cd kwa kutumia computer desktop na pia kuonyesha mpira pia. Ninaomba ushauri kwenu ni aina gani ya nishati ya...
Back
Top Bottom