Search results

  1. M

    Mdogo wake Mbowe ahusishwa kuharibu matokeo baraza la mitihani.

    Pia huyo mbunge hana hoja kwanza hayuko makini maana Joseph Mbowe hayupo baraza la mitihani mwaka wa pili huu, sasa hayo matokeo kayharibu wapi?
  2. M

    Suala la Magufuli ni VITA YA URAIS 2015!

    Nimetoka Ubungo nakutana na magari kama sita ya usalama wa taifa yanapiga vingora kutokea morogoro kuangalia ndani ya gari lililopo kati Namuona Magufuli nafikiri anatoka Dodoma, waungwana nisaidieni waziri tu anapigiwa security kali hivyo bila hidden agenda?
  3. M

    Laptops and Mobile phones for sale

    Huna nia ya kuuza wewe watu wanaweka bei za nyumba na magari kwenye forum sembuse laptop unaona deal kubwa!!!
  4. M

    Mishahara mipya ya vigogo wa kenya baada ya uchaguzi mwaka huu hii hapa....

    Namba 5 ziko mbili na hesabu zako hazijakaa sawa, au ndo wale waliofanya hesabu option course shuleni?
  5. M

    Hisense lcd flat tv 32 550000tsh

    Mkuu vipi mbona huweki hata namba ya simu na location ulipo? ipo laki nne hapa kama vipi tupeane!
  6. M

    Mtoto aliyefanya ajabu la nane la Dunia

    Nimekufahamu sasa Metaaaaaaaaa!
  7. M

    kithembe

    kwa nini mthiwe wathtarabu jamani, ina maana thithi watu toka thame ndo thema yetu hiyo?
  8. M

    JWTZ Professionals

    Professionals JWTZ wameshaanza trainning wiki ya pili sasa wewe unasubiri nini? wapo makambi mbalimbali watakuwa huko miezi sita
  9. M

    Mchana huu nimegundua rasmi kuwa TBC1 ni bomu!

    Leo nimejituliza home baada ya afya kuyumba sijaenda job, nikaona nitumie muda huu kuangalia vipindi vya TBC1, ambapo waliweka kipindi cha bunge na saa saba taarifa ya habari. Cha kushangaza bungeni mawaziri vivuli kambi ya upinzani Zitto na mrs Lissu wameleta mawazo mazuri kwa serikali TBC1...
  10. M

    Utaratibu mpya kwa wanaotaka kujiunga na MASTER DEGREE UDSM

    Ila naona kama mtoa mada hii umepotosha uma maana mimi nipo karibu sana na directorate ya postgraduate UDSM, hakuna requirement kama hizo zimewekwa zaidi ya second class kwa kozi nyingi! umepata wapi info zisizo kweli unaweka kwenye JF bila kuwa na evidence? Jamani hili jukwaa tulipe heshima yake!
  11. M

    Mbao za Dawa Bei Poa Bila udalali.

    wapi kituo cha mauzo na simu
  12. M

    MiSeMo yEtU jIjIni MbEyA..! OnGeZa yA mKoAnI kWaKo bASi.

    Hii nimeipenda sana inanikumbusha mbali enzi hizo tunachunga ng'ombe msitu wa forest na mbugani! tukawa TUNAFURULA(kurudia kutafuta mahindi shambani mlimovunwa), mwenzako ANAKUSORA(anakuchagua ukarudishe ng'ombe wasiende mbali) wakati wewe unajenga KABUNGUJA kwa kutumia MAMOMA!
  13. M

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Kitu Wifi Naye njia ya Mtwara inapoingia Dar tairi zake utadhani za udongo kumbe zilizama kwenye tope njiani
  14. M

    Size ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako.

    Hapo si tayari una mwaka wa kuzaliwa unatosha kupata umri sasa hayo macpomplication mengine ya nini mwenzangu?
  15. M

    Misamiati maarufu vyuo vikuu

    KD au VD pale mlimani ilikuwa Kiwango au Viwango duni wale wanaoingia chuo kwa pre-entry
  16. M

    Chuo cha Usafirishaji chawa rasmi Chuo Kikuu na Shahada 6 adimu, Wabongo tuzichangamkie!

    Hapo Pasco umeprove uweledi wako na ufanisi katika kazi yako hao wanaokuponda nadhani hawana sifa za kusoma kozi hizo ndiyo maana wanaleta longo longo, siye watanzania tunakushukuru kutuletea info za kutufanya tupate sifa za kuwazidi wakenya wanaotuchukulia post zetu katika soko la ajira. Vijana...
  17. M

    Ipe maneno hii picha

    Kama ingekuwa anasikia huyo mzee na angeweza kuamka amwone huyo mjumbe wa UVCCM, mzee angetembeza bakora hadi kwa mwenyekiti wa chama chote maana ndiyo hayo yametawala hadi ikulu
  18. M

    Pinda ana uwezo wa kumsimamisha kazi Blandina Nyoni lakini Jairo hapana kweli?

    Siku pinda analia bungeni akisema hana mamlaka ya kumsimamisha kazi Jairo anamwachia rais sasa jana amepata wapi mamlaka ya kumsimamisha katibu mkuu kama jairo huyu mama Blandina jamani?
  19. M

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    Nami ningependa kukupa uhalisia wa mambo, the method is accepted to diognise such a problem to a lady. Ila kuna information muhimu inawezekana hukumpatia doctor ndiyo maana alishindwa kutumia njia zingine maana hiyo njia ni ya mwisho. Na yule anayetaka ungesaidiwa na doctor mwanamke hajaelewa...
Back
Top Bottom