Search results

  1. Cathode Rays

    Wauza smartphone tukutane hapa

    HELP: Nahutaji touch screwn ya Infinix Note 4
  2. Cathode Rays

    VIDEO: Diamond na Nandy waitwa TCRA, hivi ndivyo ilivyokuwa

    Sema ukilelewa na mama mjinga mjinga. Wengine tumelelewa na mama peke yake lakini mwenye kujielewa na uwezo wa kucheza vizuri 'father figure' na hakika hata pengo la Baba halionekani kwenye tabia na mwenendo kwa ujumla wake
  3. Cathode Rays

    Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

    Laiti ingekuwa natural without make ups....
  4. Cathode Rays

    Rushwa inayoendelea ktk eneo la ukaguzi wa magari (Transit Goods)Pale Vigwaza eneo la mzani ni ya kutisha!

    Inaonekana hujapita kabisa eneo hilo Ila kwa ufupi kuna kituo kikubwa sana cha ukaguzi wa magari eneo Karibu na ilipo mizani...Na kuna wakati wanakuwapo Askari wa kutosha wanaoletwa na coaster kabisa ya PT
  5. Cathode Rays

    Roberto Carlos: Badala ya kumkaba Ronaldinho Gaucho nilicheka Kwa kukumbuka chenga alilompiga Gattuso

    Steven Gerald 0 PL - Wesley Brown 4 PL Harry Kane 0 PL 0 UCL finals - Luke Chadwick 3 PL and 1 UCL finals
  6. Cathode Rays

    Ya Mtulia hayana tofauti na ya Lowassa

    Hahaaa....samahani mkuu. Ndo maana nimesema alama za funga semi
  7. Cathode Rays

    Jeshi la Kenya limetumia busara sana.

    Hivi ni "amekimbia" mkutano Na kurudi nyumbani au ni Mkutano umeisha sasa karudi nyumbani?
  8. Cathode Rays

    Ya Mtulia hayana tofauti na ya Lowassa

    Chama chenye miaka zaidi ya 30 kinachoshikilia dola...chenye kujigamba kuwa Na wanachama zaidi ya Million 8 walioiva kiitikadi...chama kilichojengwa katika misingi ya TANU (Hivyo kuwa Na uzoefu wa zaidi ya miaka 50).....kinapofikia kuhalalisha udhaifu kwa kujilinganisha na chama cha "juzi"...
  9. Cathode Rays

    Mnunuzi wa nyumba/ kiwanja usilazimishwe kulipa 10% Serikali za mitaa, haipo kisheria

    Nimenunua viwanja Mradi wa viwanja Mvomero na agizo juu la kulipa hiyo 10% tena kwa akaunti rasmi ya Halmashauri inayojulikana kama "DED Mvomero Miscellaneous" Ninaposoma hii thread unajikuta niko confused maana hiyo 10% niliyolipa kwa Jan ni hatari
  10. Cathode Rays

    Kwa mara ya kwanza, Serikali yachukua gawio la Tsh. Bilioni 19.5 kutoka Benki ya CRDB

    Najaribu kuwaza 1. Taasisi za serikali funga akaunti zote na bank 2. Fukunyua za zamani hakikisha zote zimerudi 3. Aliyekuwa waziri mkuu akalazimika kutoka kama mjumbe wa Bodi akihofu labda yeye ndiye Yona kwenye meli 4. Nini kinafuata?? Alamsiki
  11. Cathode Rays

    Rais Magufuli awateua Prof. Mruma, Prof. Buchweshaija na Prof. Liwa kwenye nafasi mbalimbali

    Angempa Wizara ya Nishati na madini inge-cement sana credibility ya findings na recommendations za tume yake Nawaza tu
  12. Cathode Rays

    Mzee John Cheyo amesema kuna mwana ACT katika timu inayojadiliana na Acacia

    Possibly Zitto.....naona hata Social Media haonekani sana kama ilivyo ada yake
  13. Cathode Rays

    Mrisho Mpoto arudi na Mrejesho wa SIZONJE ''Kitendawili''

    "Unaonaje, Tuzike kwanza au tuhesabu idadi ya maiti zinazotembea"
  14. Cathode Rays

    Tochi za barabarani sasa faini 200,000. Tanroads wasema faini hiyo ni halali ipo kisheria

    Kaka majuu gani wanakojifunika na majani? Bagamoyo na Kibaha au?? Kama ni ile majuu tuliyozoea ya US na UK and the likes huko zaidi ni fixed camera na toll stations ambazo ni sawa na hizi huku kwetu madereva wanaita "mahakama"
  15. Cathode Rays

    DC Mwanga amweka DAS mahabusu na DC Chemba amcharaza viboko mzazi wa mtoto aliyevunja gari lake

    RPC Mambosasa anastahili nishani ya utumishi uliotukuka Katika serikali hii ni ngumu sasa kuwa na ujasiri kama alionao Mambosasa na kuthubutu kusema DC kavunja sheria (kajichukulia sheria mkononi). Bila shaka atakuwa safe maana wa Mwisho kuthubutu kuita nyeusu nyeusi (na si nyeupe...
  16. Cathode Rays

    Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

    Me kwa kweli nakumbuka sana vinyimbo na matangazo zaidi Tangazo la Kiwi la asubuhi saa 12....nikilisikia ulikuwa kero tupu maana liliashiria dalili zote za kuchelewa namba shuleni Naanzaje kusahau wimbo/tangazo la Tanesco "Peleleza bwana Umeme?" Au naanzaje kusahau tangazo la ile shule ya...
  17. Cathode Rays

    Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

    Hapo Ukulima wa Kisasa huwezi sahau ule wimbo pendwa "shambani x3 mazao bora shambani. Tusikae mitaani, taani wananchi tukalime, mazao bora shambani wananchi tukalime"
  18. Cathode Rays

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Nimejiuliza sana swali hili pia. Kuna mtu amesifia wimbo Ila akaponda video mbovu. Sikutaka kukubaliana nae kwa kuwa natambua video kwa mtu mwenye akili timamu sio tu kuuweka wimbo lwenye muoekano bali kuitumia kufikisha ujumbe Fulani uliojificha Naamini iko maana na itaeleweka ikiwa pamoja na...
Back
Top Bottom