Search results

  1. nyamadoke75

    The Junta that staged a coup to overthrow director general Prof. Martin Lwanga from power at Eastern and Southern Africa Management Institute (ESAMI)

    THE JUNTA THAT STAGED A COUP TO OVERTHROW DIRECTOR GENERAL PROF. MARTIN LWANGA FROM POWER AT EASTERN AND SOUTHERN AFRICA MANAGEMENT INSTITUTE (ESAMI) WITHOUT FOLLOWING DUE PROCESS The ESAMI Board, led by Mr Simon Masanga from Zimbabwe, removed the fifth ESAMI Director General Prof Martin...
  2. nyamadoke75

    Boss wa Kipong Arusha bado anaozea Mahabusu, kimada wake, Michelle Mrema achomoka lokapu kiutata

    Mkurugenzi wa Bar Maarufu ya Kipong ya jijini Arusha ,John Casian bado anashikiliwa na polisi Arusha, kwa kosa la kutengeneza na kuuza vinywaji feki aina ya Konyagi kinyume cha sheria huku kimada wake Michelle Mrema mtoto wa Bilionea Mrema,akitolewa mahabusu kiutata. Casian alikamatwa Machi...
  3. nyamadoke75

    Kampuni ya kukusanya madeni ya Marcas yatimuliwa kwa kuiba Mali za mteja katika hoteli ya Impala

    Mkurugenzi wa kampuni ya Marcas debt collectors, Richard Paul amekosa uaminifu na kutia aibu ya mwaka baada ya kampuni yake kufukuzwa kwenye tenda ya kuuza vifaa Mbalimbali katika jengo lililokuwa hotel ya Impala jijini Arusha baada ya kuiba vifaa vya mteja wake vya mamilioni ya fedha...
  4. nyamadoke75

    Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Issa Bulilo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kilimanjaro kwa utapeli wa Tsh. Mil. 2,000,000/-

    Usiku wa kuamkia leo Jeshi la Polisi kupitia kwa makachero wake walioweka mtego nyumbani kwake kata ya Korongoni wilayani Moshi walimtia mkononi majira ya saa 3 usiku akijaribu kutoroka na kukamatwa huku tapeli huyo amekutwa na hirizi tatu kiunoni. Vijana hao mbele ya Jeshi la Polisi walikiri...
  5. nyamadoke75

    Simanjiro: Kampuni ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani imetakiwa kuchimba kufuata leseni waliyopewa

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara imetakiwa kuchimba madini hayo kwa kufuata leseni waliyopewa na sio vinginevyo. Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi wa Madini Kanda ya...
  6. nyamadoke75

    Serikali yapoteza mabilioni ya mapato kisa mgodi kufungwa sababu ya madalali wa dhahabu

    Afisa Mfawidhi wa Madini Mkoa wa Tanga,Zabibu Napacho amesitisha shughuli za Uchimbaji katika mgodi wa Dhahabu ulipo katika kijiji cha Kwandege Kata ya Lang’ata Wilayani Handeni Mkoani Tanga unaomilikiwa na Godfrey Bitesigirwe kutokana na mgogoro uliopo baina ya mmiliki wa mgodi huo na wenye...
  7. nyamadoke75

    Rufaa ya Mwekezaji Saitoti Yaangukia pua fuata Sheria

    Atimaye baada ya mvutano wa muda mrefu Rufaa ya kupinga maamuzi ya Kamati juu ya mgogoro wa uchimbaji kati ya mgodi wa Kampuni ya Gem & Rock Venture uliopo kitalu B na kampuni ya Franone inayomiliki mgodi wa kitalu C na serikali iliyokatwa na Gem & Rock Venture kwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini...
  8. nyamadoke75

    Waziri ndalichako apongeza kiwanda cha a ,to ,z textile limited kwa usalama mahala pa kazi yashika nafasi ya pili

    Morogoro Arusha.Kiwanda cha kutengeneza nguo cha jijini Arusha A to Z Textile Mills Limited , kimeibuka na ushindi mzito wa kuwa kiwanda bora cha Usalama na Utunzaji wa Mazingira mahala pa kazi na kushika nafasi ya pili kitaifa . Akitoa tuzo hizo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi...
  9. nyamadoke75

    Waliovamia mgodi wa kitalu C wapatiwa kipigo cha mbwa koko

    Mirerani Kikundi cha Wachimbaji Wadodo Wadogo zaidi ya 30 kutoka katika kampuni ya Gem$ Rock Venture Unaomiliki Mgodi Tanzanite Kitalu B juzi mchana wakiwa na silaha za jadi na majabali yenye ncha kali wamevamia Mgodi wa Kitalu C na kujeruhi zaidi ya wafanyakazi kumi na wafanyakazi hao wako...
  10. nyamadoke75

    Tumieni vizuri mitandao ya kijamii kujinufaisha

    Ni historia kubwa sana kwa mwanamke Pendronila Masi Maarufu kama (Masipeti ) kuacha kazi yake ya maana na kukimbilia kufanya kazi ya kusaidia jamii kwa njia ya mtandao. Niliamua kuacha kazi mimi monyewe kustaafu kwa umri wangu mdogo wakati nilikua nalipwa fedha nzuri tu nikaona sintaweza...
  11. nyamadoke75

    Askari polisi Arusha wadaiwa kukamatwa na Mirungi waliyopewa rushwa. Wapo Lokapu wakisota. RPC adai hana taarifa

    ASKARI Polisi Wawili wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Wanashikiliwa katika mahabusu ya polisi jijini hapa kwa zaidi ya wiki tatu rumande kwa madai ya kupokea rushwa ya shilingi milioni 4 kutoka kwa Wafanyabiashara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi waliokuwa wakiingiza bidhaa hiyo yenye thamani...
  12. nyamadoke75

    Wizi wa Mamilioni Longido,Wasomi kumburuza mahakamani Ded na mwenyekiti wa halmashauri

    Wadau wa Maendeleo na wasomi wilayani Longido wamejipanga kuishtaki mahakamani Halmashauri ya Longido kwa ubadhirifu wa fedha za umma baada ya kubaini kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri ,Stephen Ulaya na Mwenyekiti wa halmashauri hiyo,Simon Oitesoi ndio chanzo cha uchochoro wa upotevu wa fedha za...
  13. nyamadoke75

    Mwenyekiti wa Halmashauri Longido matatani, atakiwa kujiuzulu

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Longido, SIMON OITESOI ameingia kwenye mgogoro wa kiuongozi na kutakiwa kujiudhulu kufuatia kushindwa kusimamia mamlaka yake ipasavyo katika baraza la madiwani na kuruhusu upotevu wa mamilioni ya pesa za halmashauri hiyo kunakofanywa na baadhi ya watumishi wasio...
  14. nyamadoke75

    Maelfu wajitokeza mazishi ya baba wa mfanyabiashara maarufu Saitoti wa Arusha

    Mwili wa Emmanuel Mollel ambaye ni Baba wa mfanyabiashara maarufu Mkoani Arusha na Manyara umezikwa kwenyw kijiji cha Marurani wilayani Arumeru Mkoani Arusha huku maelfu ya watu wakijitokeza na kumlilia Mzee Mollel kwa upendo alio kua nao kwa majirani huku wengine wakizimia na kuanguka chini...
  15. nyamadoke75

    TANZIA Mfanyabiashara maarufu wa madini Arusha, Saitoti afiwa na Baba yake

    Mfanyabiashara Maarufu Mkoa wa Arusha na Manyara na mmiliki wa kampuni za uchimbaji wa madini ya Tanzanite Azo Africa Limited na Germ and Rock Ventures, Joel Saitoti amepata pigo zito kwa kufiwa na baba yake Mzazi Emmanuel Laidoson Mollel ambaye alikuwa ni Mkulima na Mfugaji katika kijiji cha...
  16. nyamadoke75

    Nabii Mkuu atoa milioni 100 kwa wafanyabiashara Samunge, Arusha

    Nabii Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako ambaye pia ni balozi wa amani Dkt GeorDavie Kasambale amekabidhi rasmi stakabadhi ya malipo ya kibenki (CRDB) ya shilingi milioni 100 aliyoiahidi kwa wafanyabiashara wa soko la Samunge jijini Arusha ambao walipata janga la kuunguliwa bidhaa zao na...
  17. nyamadoke75

    Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro akalia kuti kavu, ampa swahiba wake Uongozi ambaye hana uwezo

    Siku chache mara baada ya katibu wa Ccm Mkoa wa kilimanjaro Jonathan Mabiya kumnyang'anya bwa Mwita mgahawa wake na kisha kupangisha eneo la mfanyabiashara kinyamera amefanya tukio lingine ambapo limezua zito fahamu kwa wanachama wa chama nakuzua sitofahamu baada ya kupanga safu nyingine ya...
  18. nyamadoke75

    Tetesi: IMEVUJA: Makatibu CCM washiriki kughushi nyaraka saa 7 usiku Moshi kuweka uhalali wa uozo wa zabuni dhidi ya Mwita

    Moshi kilimanjaro Katika sakata Linaloendelea Mjini Moshi Dhidi Ya Uporaji Na matumizi Mabaya Ya Madaraka Kwa Katibu Wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathani Marco Mabiya Dhidi Ya Aliekuwa Diwani Wa Manispaa Ya Moshi Michael Mwita kunyang’anywa Eneo La biashara Bila Uhalali. Chanzo chetu cha...
  19. nyamadoke75

    CCM Arusha yamfanyia umafia Mwenyekiti wa Wazazi CCM Taifa, yamnyima ofisi ya kufanyia mikutano na wanahabari

    Serikali imetakiwa kuwawezesha wanawake hususani kwenye kilimo kwa kuwapatia teknolojia za kisasa za kilimo mbalimbali zinazoweza kupunguza athari ya mabadiliko ya Hali ya hewa ambazo zitasaidia kuinua kipato chao na Taifa kwa ujumla. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Dr. Mkupete Jaah...
  20. nyamadoke75

    Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Mabia ni jipu, adaiwa kufanya unyang’anyi wa eneo la biashara

    Michael Mwita Kada maarufu wa chama cha mapinduzi mkoani Kilimanjaro ambaye amewahi kushika nafasibalibali kama katibu mwenezi wa wilaya hiyo, Diwani wa kata ya Kaloleni ,manispaa ya Moshi pamoja nakuwa meneja kampeni wa aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Moshi Mjini Davis Mosha mwaka 2015...
Back
Top Bottom