Search results

  1. Nobrain

    Ajira za Wizara ya Afya

    Hello, kwenye hizi ajira za Wizara ya Afya Kila Nikijaribu ku apply inanambia "Please fill the following information: Required Attachment in attachment section" Kila kitu nimeatach Vzur. Tatizo litakuwa nini?
  2. Nobrain

    ADA ya kujiunga na Bodi ya Tehama (TANZANIA ICT COMMISSION )

    Habari wa kuu, kama Heading inavyojieleza, naomba msaada wa kufahamu ada ya kujiunga na Bodi ya Tehama. Nachofahamu kuna 20,000 ya kutuma maombi na Kuna pesa ya Usajri. Mwenye anafahamu msaada Tafadhali. . Hiyo pesa ya Usajiri
  3. Nobrain

    Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho

    Daaah wanangu, Mwenzenu niko Hoi hapa Nilipo! Sina Usingizi, wala Siwezi hata Kula. Nimekuwa Fara Kinyama Kisa Mapenzi. Ngoja Niwape Hii stori kwa Ufupi. Kuna Dem mmoja, nilikutana Naye Supermarket, (ilikuwa Mwezi wa tatu 2022) nilimpenda na kumfungukia Hisia zangu, akawa Amenipa Namba...
  4. Nobrain

    Rafiki yangu anamuoa ex wangu daaah!!!

    Yaani mwezi uliopita nimepigwa na Mshangao mkubwa Sana. Iko hivi kipindi nasoma chuo flani hapa Dar, nilikuwa na Jamaa yangu (Tuseme anaitwa JAMES), lakini pia darasani kulikuwa na demu mmoja hivi (tumwite Rose) alikuwa ni mtu wa Dini sana. Mimi pia kipindi hicho kwenye maswala ya Ibada na...
  5. Nobrain

    Nimeamini Mtalaka hatongozwi

    Aisee, sijui enzi izo wahenga walikuwa wanawaza nini hadi wakaja na huu msemo. Amini usiamini mtalaka huwa atongozwi kabisa.. Nimekuwa na X wengi kidogo ambao matika makuzi au maisha yetu ya kibongo nimewahi kupita nao na kuachana kwa sababu tofauti tofauti. Achilia mbali wale ambao labda...
  6. Nobrain

    APP ya Kuficha SMS, usikamatwe na Mwenzi wako?

    Hello Guys, hope mko pouwa. Leo nimeamua niwaelekeze namna nyepesi ya kuficha SMS kwa wale wachepukaji ili usije kamatwa Of course kuchepuka ni kubaya, lakini natambua kuna wanaochepuka kwa sababu maji yamewafika shingoni. SO MADA isiwe ndefu. Kama wewe unatumia Android, Ingia playstore tafuta...
  7. Nobrain

    Unaijua hii kwa Mwanamke wako? (Chit nikuchit)

    Iko hivi, wanawake wengi wanamiliki wanaume wawili, Mwanaume wa pili anajua Kabisa kuwa huyo demu ana Mshikaji wake anakula pale (mpenzi, mchumba au mume), ila yule Mwamba wa kwanza anajua Yuko peke yake[emoji2960] Ila pia huyo mshikaji wa Pili anaye mwanamke ambaye anaamini na yeye yuko peke...
  8. Nobrain

    Bikra ni Wazinguaji sana. Nyie huwa mnafanyeje?

    Oya we, fresh lakini? Miezi kama sita nyuma nilipata Dem mmoja Safi alikuwa anasomea Nursing chuo flani. Nilipambania kumpata hadi nikafanikisha, c wajua tena. Ila kunipa gemu alikuwa anazingua kinyama, sema Mnyawezi nilikomaa na Tai shingoni, hadi siku moja akaamua kunipa (tena hii ni baada...
  9. Nobrain

    Nimelala naye siku moja Tu, leo ananiambia ana Mimba!

    Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana?? [emoji856] Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸 Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena...
Back
Top Bottom