ADA ya kujiunga na Bodi ya Tehama (TANZANIA ICT COMMISSION )

Nobrain

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
256
Reaction score
737
Habari wa kuu, kama Heading inavyojieleza, naomba msaada wa kufahamu ada ya kujiunga na Bodi ya Tehama.

Nachofahamu kuna 20,000 ya kutuma maombi na Kuna pesa ya Usajri.

Mwenye anafahamu msaada Tafadhali. . Hiyo pesa ya Usajiri
 
waje tujue
 
Kwanza unajiungaje na bodi? Nifafanulie maana bodi mimi najua ni chombo maalumu kama jopo hivi la wasimamizi wa kimaamuzi katika kada fulani na mtu huingia kwa kuchaguliwa au kuwa appointed sasa hii ya kulipia nipewe elimu na mie
 
Back
Top Bottom