Search results

  1. Eagle J

    Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Katika kupitia uzi pendwa mzee Jason Bourne na Mkuu Kiga wametuonesha kuwa kusoma vitabu vilisaidia wao kujua jinsi ya kupata nywila za wenzi/wapenzi wao. Wanadau naombeni vitabu mlivyosoma ili tusaidiane kwenye libeneke, maana sio wote wameenda jando
  2. Eagle J

    Je, ni kweli wanawake mna tabia hii?

    Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game... Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote mnazptumia kujua maumbile ya kiume zikiashiria ukubwa au urefu. Je ni kweli mna tabia hizi
  3. Eagle J

    Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    Nilipata simuliwa kuwa wanawake wa kizungu wana tabia ya kwenda sehemu za mbali na kum target mtu kwa ajli ya kuzaa nae kisha kupotea/kupoteza mawasiliano nae... Je Tanzania kuna wanawake wa namna hiyo?
  4. Eagle J

    Single father/single mother: Mtoto wako anapomkataa mwenza wako uliyenae serious katika mahusiano

    Maisha ya malezi yanachangamoto zake, na changamoto iliyopo ni mtoto kukataa au kumfanya akaubaliane na mwenza ambae mmefika hatua ya kutaka kuishi pamoja kama mume na mke ila mtoto ndio haivi na mwenza wako na ni mtoto mdogo (under 7 yrs) huwezi kumlazimisha akabaliane na hali halisi Je...
  5. Eagle J

    JE KUWA NA MWANAMKE/MWANAUME MWENYE GUNDU?

    katika harakati zetu za maisha kuna mengi kama wanadamu tunakutana nayo/pitia kufikia malengo yetu ya maisha, pia katika malengo yetu unajikuta unapata mwenza/mchumba/mpenzi ila muweze jenga maisha. Katika mahusiano yenu unakuja kuona mabalaa yanakuandama tu na hausogei kimaendeleo kama...
  6. Eagle J

    Je kusoma vitabu/machapisho vimesaidia katika mahusiano yako?

    Binafsi sio msomaji sana wa vitabu ila nikipata muda wa kusoma vitabu napata viwili vitatu maisha yanasonga, nimekutana na watu mbalimbali wakitoa ushuhuda kuwa kusoma vitabu kumewasaidia sana hasa kwenye sehemu ya mahusiano ya kimapenzi kwa kuboresha mawasiliano na ujanja kitandano Je kusoma...
Back
Top Bottom