Search results

  1. Karhumanzira

    Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

    Hongera Sana Joti.
  2. Karhumanzira

    Interest za mabenki yetu

    Wakubwa nataka kuchukua mkopo,ebu nitajieni interest rate za mabenki yetu kwa sasa hili nijiunge nayo kwa lengo la kuchukua mkopo,personal loan! 1.CRDB 2.Standard Charted 3.Barclays 4.Azania Bank 5.BOA 6.NBC 7.Stanbic 8.FBME 9.TPB 10.DTB
  3. Karhumanzira

    Ilboru na mzumbe hakuna div i ya point 7

    http://196.44.162.14/necta2011/CSEE%202011/s0110.htm S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL DIV-I = 40 DIV-II = 23 DIV-III = 24 DIV-IV = 14 FLD = 1 http://196.44.162.14/necta2011/CSEE%202011/s0140.htm S0140 MZUMBE SECONDARY SCHOOL DIV-I = 63 DIV-II = 28 DIV-III = 14 DIV-IV = 6 FLD = 0Imeanza na Point...
  4. Karhumanzira

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    There are currently 626 users browsing this thread. (144 members and 482 guests) Karhumanzira, Sigma, SILENT ACtOR, Pweza Dume, Babuyao, Tanganyika2, kupeng'e, Mtanzania haswa, Jagermaster, tru rasta, A. D. Pigangoma, Wings, skendo, ng'hily, Janja PORI, morio, kilewo, punainen-red, Bettina...
  5. Karhumanzira

    Unazikumbuka timu za mtaani enzi hizo?

    Kwa wakazi wa kigamboni tulikua na: 1.Nanga FC hapa nyota alikua kachupa 2.Shabab-hapa nyota alikua Mwishee na brother yake aliwahi chezea simba 3.Tipper FC-Hapa star alikua Deo Lucas(aliwahi chezea yanga) 4.Mzizima FC
  6. Karhumanzira

    Nnahisi maumivu kwenye kidole tumbo na naogopa operation,msaada ma dr.

    Ebu jaribu kuinua miguu juu wkt umelala kimgongo,ukiweza basi ujue sio appendix kama ukishindwa nenda hsptl wakafanye oprtn
  7. Karhumanzira

    hongera sikinde kwa kumiliki basi

    Enzi hizo bado ghorofa la NHC jipya kabisa
  8. Karhumanzira

    Kumi wawa discontinue udom

    Wa kwangu Yale University
  9. Karhumanzira

    Vigogo na Umilikaji wa Ardhi bila kuendeleza: Kigamboni

    Ardhi ndio wanawekeza vigogo
  10. Karhumanzira

    Vigogo na Umilikaji wa Ardhi bila kuendeleza: Kigamboni

    Habari Mama Tibaijuka, Kuna vigogo wa serikali wanamiliki ma-estate bila kuendeleza na kutuachia mapori tu, sheria ya ardhi inasema mtu akimiliki eneo kwa miaka mi3 bila kuendeleza ananyang'anywa, mbona hawa watu haufanyi hivyo? Tunawaomba uwaambie wayasafishe wanatujazia mapori tu huku.
  11. Karhumanzira

    Cori B: Binti wa Snoop anaefuata nyayo za baba yake

    Ni binti mdogo wa Snoop aliyezaliwa miaka ya 2000,ameanza vizuri na ngoma yake aliyeiachia mwanzoni mwa october mwaka jana 2011 "Do My Thang",Je atakuja kumdhibiti Willow Smith?
  12. Karhumanzira

    Nataka Kujenga kaghorofa ka ushkaji hivi eneo halijapimwa

    Asante kwa taarifa mkuu nitafanya hivyo
  13. Karhumanzira

    Nataka Kujenga kaghorofa ka ushkaji hivi eneo halijapimwa

    Habari wadau, Ninataka kujenga kaghorofa kadogo tu na kiwanja hakijapimwa,kipo bunju,je utaratibu ukoje? Nijenge tu bila kupima? Je nikaombe kibali cha ujenzi hata kama kiwanja hakijapimwa? Au hairuhusiwi kujenga kama kiwanja hakijapimwa? Au unaweza kujenga tu hata kama kiwanja hakijapimwa sema...
  14. Karhumanzira

    Mtatiro kamleta mtoto wake, Seif je?

    Like father Like Son
  15. Karhumanzira

    Miashoki inaitwaje kwa kingeleza au kisayansi?

    1.Wadau nauliza nitajieni kwa kiingereza nataka kuipanda,na itachukua mda gani hadi kufika kimo cha futi 5 2.Pili kuna miti inaitwa Royal Palm inachukua mda gani hadi kufikia futi 6? Mnijuze nataka kuipanda kiwanjani kwangu
Back
Top Bottom