Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

kwa iyo sasa hivi atakua anavaa nguo za huyu mke wake
Nimechekaaaa! Eti atakuwa anavaa nguo za huyu mke! Mnyalukolo huyu na vituko vyake anaweza!
Yule binti ni mtoto wa kuzaliwa na huyu bibi harusi au kuna mama mwingine wa yule mtoto? Nauliza tuuu
Wamependeza lakini Hongera zao nyingi tu!
 
  • Thanks
Reactions: tbl

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom