Search results

  1. mkhande95

    Msaada kwa itel S11 kuisha chaji haraka

    Wakuu nina swali. Simu yangu ni itel S11 siku hizi inaisha umeme haraka sana. Je, nikinunua betri yake mpya na kuichaji mpaka full, itakuwa imesaidia, yaani inaweza kukaa kwa muda mrefu kama ile ambayo imekuja na simu ikiwa mpya?
  2. mkhande95

    Msaada duka la vitabu Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu natumai mu wazima wa afya. Ombi langu kama hapo juu ni kwamba nilikuwa naulizia mahali ninapoweza kupata duka liuzwalo vitabu vya fasihi za kiswahili hasa za kipindi hicho maana nilizipenda sana ila vingine alivyonunua mzee wetu vilipoteapotea. Nilikuwa natamani vitabu kama...
  3. mkhande95

    Ghost ya Michael Jackson

    Habari zenu wakuu naimani my wazima. Nilikuwa naomba mwenye link ya video ya nyimbo hiyo hapo juu, maana nimehangaika kuitafuta mitandaoni na YouTube zipo fupifupi na Mimi nilikuwa naitaka ile ya long version. Natanguliza shukrani zangu wakuu.
  4. mkhande95

    Mortal kombat x mobile hacked mod

    Habari zenu wakuu, kama kichwa hapo juu naombeni link ambayo nitaweza kudownload hilo gemu likiwa moded.
  5. mkhande95

    Msaada: Simu ipo slow sana, tatizo nini?

    Natumai mu wazima wakuu na wikiendi. Wakuu, ndugu yangu ana simu aina ya Tecno Spark K7. Shida yangu ni kwamba kwa muda mrefu hii some imekuwa utumiaji wake unakuwa too slow yaani unabonyeza app fulani mpaka kufungua inatumia muda mrefu na mara nyingine mpaka nireboot ndio kidogo sio sana...
  6. mkhande95

    Msaada: Jinsi ya kusearch mada JamiiForums

    Habari za leo wakuu, naombeni kufahamu namna ya kusearch mada kwenye JamiiForums, yaani labda nakumbuka jina la topic humu halafu nataka niipate mnafanya vipi? Shukrani.
  7. mkhande95

    Kununua Games Steam

    Habari zenu wakuu, Niende kwenye swali moja kwa moja. Naomba kuuliza wenye uzoefu wa ku-purchase PC games kutoka katika steam account HV ukishafanya mwamala wote ule wa kununua game, inakuwa inajidownload yenyewe na kujiinstall au ukishainunua uwe tena nankifurushi cha kuidownloas na kuinstall...
  8. mkhande95

    Kufuta facebook account

    Habari wanajamvi niende kweny mada, nimefungua account mpya facebook sasa naombeni msaada wa kufuta ile ya zamani kama inawezekana......yaani kuiondoa kabisa. Natanguliza ahsante na shukrani.
  9. mkhande95

    Naomba kujua namna ya kuunganisha padi ya ps3 kwenye laptop ili nicheze games za Psp

    Habari zenu wakuu. Niende kwenye mada; naombeni kujua namna ya kuunganisha padi ya ps3 kwenye laptop ili nicheze games za Psp maana nishadownload app ya ppsspp na kuinstall.....Natanguliza shukrani
  10. mkhande95

    Msaada vitabu vya arabian nights

    Wapendw wakuu humu ndani naiman wote mu wazima mkiendelea na majukum ya kila siku. Ombi langu naomba wnaoweza kunipatia au kunionyesha sites ninazoweza kupata vitabu hivyo iwe lugha ya kiswahili ama hata vya kiingereza. Pia kama mtu anavyohumu anaweza akaturushia. Natanguliza shukrani......
  11. mkhande95

    Kuhack stars, money, coins, gold

    Habar zenu wakuu. Naombeni namna ya kuhack coins, stars, money etc bila ya kuroot simu yangu. Mnatumia njia au app gani? Shukrani.... cc Chief Mkwawa and......
  12. mkhande95

    Msaada wimbo wa extra bongo...

    Salaam wakuu, naombeni msaada wimbo wa extra bongo wa kitambo kidogo una maneno haya..."extra bongo wana bongo, sisi sote tuko fiti tunajinafaasi ooh ooh mama..." Nimeutafuta bila mafanikio google. Natanguliza shukrani zangu.
  13. mkhande95

    Amazon kindle app

    Wapendwa wakuu, napenda kujua je, ukiroot android phone yako unaweza kuhack app ya amazon kindle ikawa cracked? Chief Mkwawa, Executor, Freak e.t.c
  14. mkhande95

    IDM...

    Wapendwa wanajf natumai wote mu wazima. Swali langu ni je IDM huwa ina matumizi yapi kwa simu android?
  15. mkhande95

    Bollywood classic movies

    Wanajf, mimi in mpenz sana was filamu za kihindi classics yaani nikimaanisha miaka ya kuanzia 50s to 90's. Nimekuwa nikitafuta sites zake lakini sizipati, YouTube huwa zimo tele lakini km mnavyojua filamu zake nyingi zinakuwaga wamezikata yaani sio full length yake. Naombeni km kuna mnaojua...
  16. mkhande95

    Lucky patcher 5.9.3

    Habari zenu wana jf, naombeni link nitakayoweza kudownload lucky patcher version 5.9.3. Shukrani
  17. mkhande95

    Process ya kuroot

    Wapendwa habari, naombeni kuuliza. Katika suala la kutoot simu za kuanzia version 6.0 zinatumia pc. Na maelekezo yote yapo na pia wanasema uwe umewasha network. Sasa je km ni mtu anayetumia android phone yake km modem aingiapo internet kwenye pc, je network haitaweza kukata simu inapoanza...
  18. mkhande95

    Android games

    Habari wanajamvi, naombeni kujua games nzuri online au offline za android. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom