Process ya kuroot

mkhande95

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
308
178
Wapendwa habari, naombeni kuuliza. Katika suala la kutoot simu za kuanzia version 6.0 zinatumia pc. Na maelekezo yote yapo na pia wanasema uwe umewasha network. Sasa je km ni mtu anayetumia android phone yake km modem aingiapo internet kwenye pc, je network haitaweza kukata simu inapoanza kujireboot kwny hiyo process ya rooting? Natanguliza shukrani zangu.
 
Rootin kwenye pc huwa all filles unazotaka kutumia zipo offline na hua haitaji internet labda kama procces yako unatumia app inyo tumia

Ila Rooting kwenye pc is a safe process na sio rahisi I haribu simu
 
Simu ikizima na network inakataa, Ni vyema ungelink hio process watu waangalie zaidi.
 
Rootin kwenye pc huwa all filles unazotaka kutumia zipo offline na hua haitaji internet labda kama procces yako unatumia app inyo tumia
Ila Rooting kwenye pc is a safe process na sio rahisi I haribu simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom