Msaada kwa itel S11 kuisha chaji haraka

mkhande95

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
308
178
Wakuu nina swali.

Simu yangu ni itel S11 siku hizi inaisha umeme haraka sana. Je, nikinunua betri yake mpya na kuichaji mpaka full, itakuwa imesaidia, yaani inaweza kukaa kwa muda mrefu kama ile ambayo imekuja na simu ikiwa mpya?
 
Back
Top Bottom