Search results

  1. S

    Mwananchi wawili kata ya minyughe singida wawekwa ndani kwa kutokupeleka nyanya na matunda sokoni.

    Wadau naomba kuuliza. je, kuna sheria yeyote nchini hasa maeneo ya vijijini inayomzuia mfanya biashara ndogondogo hasa za mbogamboga kutofanyia biashara yake katika eneo la nyumba yake mpaka apeleke sokoni? kuna wanakijiji wachache eneo la minyughe singida, jimbo la singida magharibi- wilaya ya...
  2. S

    My ex boyfriend ananitaka tena

    pole dada ila mi nakutaka wewe badala ya kurudiana nae. nahis kwa jins alivyokufanyia utakuwa mwaminifu sana kwangu. weka namba yako au e-mail yako hapa ili nikutafute tuanze life mpya.
  3. S

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Asante mkuu tunaomba uendelee kutujuza
  4. S

    Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

    huyu Richard Lyimo, aondolewe na awekwe prof. issa shivji
  5. S

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Jaman tunaomben mtujuze mlioko nmc-ar, tunawategemea sana ili kujua kinachoendelea
  6. S

    Sms locker/free sms freedownload

    Tembelea Waptrick then select application kati ya headings zilizopo. ktk applic. chagua most downloaded au antivirus, kwenye antivirus chagua hack proof password na kuidownload.
  7. S

    Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

    Wassira ni vuvuzela wa magamba tuu,maana wanamwamin kwa uropokaj.yuko arumeru kulinda kitumbua chake na vipaumbele vyake ni; 1.usingiz na kutokuwa na muda wa kujenga hoja hata kama issue ni sensitive kwa maslah ya taifa chini ya wizara yake. 2.uropokaji na upayukaji usio na maana wala evidence...
  8. S

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Mbona upuuzi huu kabla ya uchaguz wa arumeru mashariki haukuwepo?najua umetumwa na akina magamba ili kuwasafisha na ufisadi wanaoufanya.mbona huhoji kwa nini mawaziri wanaishi hotelin kwa kodi za watz? kwa nini watz wanaporwa ardhi na serikal kwa kigezo cha wawekezaji? naomba utueleze wewe...
  9. S

    Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

    NDIO.lengo lake kubwa ilikuwa ni kubadili majina ili aitwe mwigulu lameck nchemba
  10. S

    Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

    Mwigulu amesoma ilboru-arusha kuanzia kidato cha 1-4 na kumaliza 2002. pia aliendelea na kidato cha sita mazengo-dodoma na kufanikiwa kumaliza 2004. kwa mwaka 2008 alikuwa akifanyia kaz bot mpaka 2010 alipochaguliwa mbunge. kwa sasa sifa yake kuu tukiachana na ubunge ni mzinzi mkubwa kama...
  11. S

    Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

    Kwa mtazamo wako magamba ndio jibu la matatizo ya tz, hivyo bas mshawish mpenzio mwendelee kuwa magamba. kwa watz wasiopenda kuwa na magamba maana magamba ni uchafu, chadema ndio nguvu ya umma. 2015 chadema ndio jibu la tz husika tunayoitaka.
  12. S

    Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

    Chadema mpango mzima. Magamba subirin tuchukue kisu tuyakwangue 2015. Peoplez........power. Watz msikubal kubakwa na siasa uchwara za mafisadi. 1.ccm ni chama cha mafisadi 2.magamba 3.majambazi na kimeshindwa kazi. Mfano mzur watz wengi wanakufa kwa tatizo la mgomo wa madoctor, kisa ccm. 2015...
  13. S

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    Safi sana,na kiendelee kunuka mpaka wahusika wawajibishwe.kama serikan imeshindwa kaz bas iachie ngaz kuliko kushuhudia wenzetu wakifa kila kukicha kama wanyama
  14. S

    Mbunge wa CCM azomewa Igunga

    Safi sana kafumu kuzomewa maana ushind wake ni wa kimagumashi.asubir 2015 kufumuliwa. Hii inaashiria kuwa watz wameanza kuamka na hawahtaj kutengenezewa viongoz bal wao wana uhuru wa kuchagua wawakilish wa kidemocrasia. good newz,thanx guy!
  15. S

    Waraka wa TAMSYA kwa vyombo vya habari

    Naona madai yenu ni ya msingi japo sijajua ni ya msing kias gan maana inaonekana kila tukio lilifanyiwa uchunguz na hava stahik zikachukuliwa.walichukua hatua hiz kwa kuwa uchunguz umefanyika wako sahih.nashangaa vijana wa kiislam kila siku kulalamika juu ya hatua wanazochukuliwa kila waendapo...
  16. S

    Aliko Tundu Antipas Lissu

    jmos iliyopita alikuwa sgd mjini akielezea juu ya mapungufu ya mswaada wa marekebisho ya katiba mpya.kwa sasa anapita kila kona ya jimbo lake kuwaelisha wananch juu ya mapungufu ya mswaada katiba mpya,na kuelezea juu ya utekelezaj wa miradi mbalmbal ya maendeleo kulingan na maeneo husika na...
  17. S

    Gazeti la 'HabariLeo' na taarifa ya kifo cha Mh. Mtema

    vyombo vya habar ni lazima viwe huru na kuonyesha uzalendo kwa jamii yote ya watanzania bila kujal itikad ya aina yeyote.Regia Mtema ni mtanzania na Mbunge wa watanzania wote.Nashangaa Habar Leo,Daily Newz,Channel Ten,Star Tv na RFA kuipuuza habar ya Mbunge wa Watanzania aliyekuwa mstar wa mbele...
  18. S

    Natafuta mchumba nimechoshwa na ubachela

    Jamani naomba mnisaidie kwa ushauri ili kufanikisha ndoto yangu.mm nina miaka 25, nina elimu ya chuo kikuu, ninatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:- *awe na umri usiozidi miaka 22 *awe ni msichana mtanashat, mtii, full of smiles na mwenye mvuto hata kama nikitoka nae bas nijisikie pride, *awe...
  19. S

    Uongozi udom chanzo cha migomo.

    Viongoz UDOM ndio wasababish wa Migomo yote iliyotokea na itakayotokeo siku zijazo kwa kuwa tangu 15/10/2011, chuo kilifunguliwa lakin cha kusikitisha ni kwamba had sasa wanachuo hawajawekewa fedha za kujikimu kwenye account zao. Wanafunzi walifanya maongez na bodi ya mikopo kuhusu tatizo hilo...
  20. S

    Mitihani ya kidato cha nne yavuja kwa school candidate

    Hatimaye mitihan ya kidato cha nne inayoendelea kufanyika hivi sasa imevuja. jana kisw kilivuja, leo bios imesoviwa 9t na history pia iko hewan sasa. source ni shy. JITAHIDI nawe upate cake yako usiwaachie watoto wa vigogo tu.
Back
Top Bottom