Viongoz UDOM ndio wasababish wa Migomo yote iliyotokea na itakayotokeo siku zijazo kwa kuwa tangu 15/10/2011, chuo kilifunguliwa lakin cha kusikitisha ni kwamba had sasa wanachuo hawajawekewa fedha za kujikimu kwenye account zao. Wanafunzi walifanya maongez na bodi ya mikopo kuhusu tatizo hilo na bodi wamesema kuwa fedha hizo walishaziwasilisha chuo kwa muda wa mwez sasa.Taarifa za uongoz wa wanafunz zinadai kuwa fedha hizo zimewekwa kwenye fixed account na Prof. Mlacha na wanafunzi wanaombwa kuwa wavumilivu kwa kuwa tayar wamesain mikopo yao kilichobaki ni kuwekewa pesa zao baada ya wiki mbili. Kwa sasa tayar wanafunz wameshajipanga kuanzisha mgomo j3 ijayo kushinikiza kulipwa pesa zao na kupinga uongoz wa chuo kukumbatia feeha zao kwenye fixed account. Je, wanaJF naomba kuuliza kuwa kwa hali hii MIGOMO Vyuon hasa UDOM cha kibabaishaj itaisha? Naomba kuwasilisha mjadala.