Search results

  1. Nibiru X

    Jihadhari na jumbe hizi usiingie link hi UNICEF Foundation Africa

    Halo wanna intelligent, Lengo la kuja hapa ni kukupa taahadhari Kuna jumbe feki zinatembea mitandao ya kijaamii kua unicef Africa inagawa hela za bure kwa watu huo ni utapeli na UNICEF wamesema hawafanyi huduma hio watu wanaingiliwa acc Kisha inaandika umepokea mill 2700000 from UNICEF hao ni...
  2. Nibiru X

    Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

    Mungu ni cheo chake yeye anaitwa YEHOVAH AU YWHE
  3. Nibiru X

    Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

    hadi huzuni dada rudi kwa Mungu sali sana kula vyema jichanganye na watu wenye maadili sikiliza nyimbo za furaha utapata mwingine wa kukupenda tena sana kwa Mungu linawezekana
  4. Nibiru X

    Uzi wa picha maalumu za Drama za kikorea za zamani Tupia ya kwako!!

    ilikua hatariii mtaalam cha min hoo na park jon
  5. Nibiru X

    Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    je yeye anakupenda kama na yeye anakupenda sawa la maana upendo uwepo
  6. Nibiru X

    Msaada: Nimetengwa kijamii

    inauma sana ktk jambo la kuambiwa tunafanyaje unapewa poleee wewe funguka kila kitu hili ni jukwaaa huru huru fungukaa tutakusaidia
  7. Nibiru X

    Teknolojia ya kuzungumza na wafu mpango ulioshindikana

    Habari watu wangu wa nguvu, Tangu hapo awali technolgia imekuwa inakua kwa kasi kubwa sana kiasi cha kuwa na akili bandia kutumia roboti kufanya kazi na shughuli na kijeshi na intelligence project kufikia kote huko mwanadamu ameshindwa kutengeneza technology ya kuzungumza na wafu imekwama...
  8. Nibiru X

    Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    wizara hii ni ngumu sana wengi wametumbuliwa hapo ni kuomba MUNGU asaidie kukupa zwadi ya mpenzi hakuna lingine
  9. Nibiru X

    Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    pole kwa changamoto ndugu kwa mm ushauri jitahidini mgonjwa apone kwanza kisha weka mitego na fanya ujasusi kwa siri kisha mwite na umhoji kwa akali
  10. Nibiru X

    My Story..

    SAWA
  11. Nibiru X

    Ujumbe fikirishi: Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi

    Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio ujembe wa kwanza kuusikia masikioni mwako ktk kisa cha maangamizi ya sodoma na gomora wakati lutu...
  12. Nibiru X

    Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

    ALIEKUJA NI MUNGU SIO NABII HIVYO NABII WA WAYAHUDI BADO HAJAJA BADO TUNA MSUBIRI KWA MADA HII NITAWAUNGA MKONO
  13. Nibiru X

    Natafuta mwanamke bikira

    sali sanaaaa
  14. Nibiru X

    Wazo la leo: Mwanamke akijua kipato chako halisi umekwisha!

    mwanamke kujua kipato chako ni sawa na kutoa ramani ya kijeshi kwenye jeshi pinzani yaani mwanajeshi wa ukraine atoe ramani yake kwenye jeshi la urusi unajua kitakacho tukia.................................
  15. Nibiru X

    Mnazipendea nini hidden roof house?

    ni fasheni tu ila sio jambo la ulazima sana pia mafundi wetu hawawezi kufanya hidden roof inabidi upate fundi mzuri hasa juu ya maji kuziba na ile siment maalum au bitmen na yale mabomba ya kushusha maji kwa uwelewa wangu jambo mm sio fundi
  16. Nibiru X

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    POST OF THE YEAR IWEKWEJUU MIMI PIA NAPITIA CHANGAMOTO HIYO YA KUPATA MTU SAHIHI WA KUMUOA ILA USHAURI ULIOSEMA NI WATU WAMSHIRIKISHE MUNGU WAO PIA MIMI
  17. Nibiru X

    Je huyu mdada anafaa kuwa mke?

    AMRI YA 6 USIZINI KAMA UMEMPIMA MKE KWA NJIA HIYO UTASHAA
Back
Top Bottom