Wakuu kila tatizo lina chanzo,kwa hapa dodoma chanzo hicho ni elimu duni,kwa mkoa mzima utapata shule chache sana za secondary ambazo ni za uhakika...hivyo ni wakazi wa chache sana wanaopata fulsa ya kusoma kiuhakika wakawa revolutionalists,..
Hali hi pia imesababishwa na watawala wa nchi yetu...
Hongereni sana wakuu kwa hii movement...i can tell the power of reading books kwa watoto,coz huwa nashangaa sana kuna hadithi za dini baba alikuwa anatusomea(mimi na mdogo wangu) ni muda mrefu sana umepita lakini huwa sizisahau,lakini pia ilinijengea sana hurka ya kupenda kusoma vitabu mpaka...
si kila kitu tulinganishe na marekani,ni asilimia ngapi ya watanzania wapo kwenye hizo social networks??...huko vijijini watu hawajui hata hiyo "Twitter" ni nini!
Helo wanajamvi,salute sana kwenu na poleni kwa majukumu!! IM SERIOUSLY LOOKING FOR A COMMITED FEMALE FRIEND....! Im 24yrs old(male),Tanzanian and student in one of the university found in Daressalaam...black is my color and im christian...height is average(160cm)...WHY A FRIEND???...As per my...
salute bro for such a very intellectual message to mr.president,my wish was to see if our leaders care,but surely i can predict what is going to happen by the time mr.president come back...very harsh decisions will comeout...this is our country jamani...
Bro!this z a bit serious,challenge za kimaisha esp from the one u love is ver important!...smtms ina bore mtu kukubar kila kila kitu unachosema,i think sunshine1 ameongea vitu vya muhimu so try to observe yy ana fall kwenye category ipi.hata kwenye hiyo ya nne,anaweza change coz behaviours are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.