Seriously! I want to join freemasonry..

freemason make good people better not stupid people good, they only accept the smartest! jipime kwanza if ur intelligent enough!
 
Mbona hammsaidii sasa?hajaomba opinion yenu, ameomba mmongoze kwenye njia ya kujoin!
 
Zaidi ya maelezo niliyowahi kusikia kutoka kwa yule mfuga majini aka mashetani, marehemu yule shehe mnajimu kuhusu usetani wa freemasons, nimepita kwenye google bado sijaona ctitical evidence kwamba hao jamaa ni dhehebu wala kwamba wana abudu shetani. Jamani tuelimisheni vizuri hawa jamaa ubaya wao ni nini hasa.
 
Mrudie yesu uokolewe ni nyakati za mwisho,(2Tim 3;1-8)
nb;kumbuka huko kuna log in button but amna log out button.
 
Mzee Mwafrika, Do you want to be free? Jesus will set you free. The bible says when the Son sets you free, you will be free indeed. Freemasonry is a prison that you will serve with sorrow and hard labour through out your life.

Usipoteze muda mkimbilie Yesu sasa hivi.
 
You already working on his system

The world is controlled by freemasons, through kafir system

Media, WB< IMF^ tafauta vyeo huko utakuwa member
 
Mbona dunia nzima tunatumia mifumo yao?
Kwa mfano picha za wanyama kwenye noti za hela,pia hebu fuatilia sana bunge letu afu kama mjanja utagundua kitu,
Wangalie viongozi wetu na pete za vidani,kadake hela kaka usinisahau tu
 
hakuna dini itakayo mpeleka m2 mbinguni ni imani ikiambatana na matendo kaka ! Ninavyofahamu freemasory huwa ni dini ambayo haitendi mema ya kumtukuza mwenyenzi mungu zikiwemo kafara!
 
Back
Top Bottom