Kati ya Dr Jakaya au Dr Slaa nani Maarufu?

Ushindi ni ushindi tu, kwani hata Obama anaongoza kwa kuwa na muelekeo wa kurudi madarakani kwa mtizamo wa maoni ya mtandaoni. Anyway, ni mtizamo wangu.

si kila kitu tulinganishe na marekani,ni asilimia ngapi ya watanzania wapo kwenye hizo social networks??...huko vijijini watu hawajui hata hiyo "Twitter" ni nini!
 
si kila kitu tulinganishe na marekani,ni asilimia ngapi ya watanzania wapo kwenye hizo social networks??...huko vijijini watu hawajui hata hiyo "Twitter" ni nini!
Mbona Zitto amelinganishwa na Dr Slaa? hivi kwani wapiga kura wote wa karatu na kigoma wametoa maoni yao kwenye JF kumaanisha ushindi wa Dr Slaa kwenye JF?
 
Ni upepo tuuu..utapita..
Sawa swts, ila jamaa ndiyo anavuma hivyo. Unajua cha ajabu b4 uchaguzi 2010 watu tulipiga kura hapa JF na watu wakahalarisha ushindi wa dr Slaa kupitia mitandao ya magazeti na JF, lakini leo hii JF hao hao JK yupo juu wanabisha, sasa maana yake nini?
 
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;

FacebookTwitterTotal popularity
Dr Kikwete (President)43, 724 likes36,038 Followers79,762
Dr Wilbrod Slaa42,388 likes8,370 Followers50,758

Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!

Hahahahahahah hahahahah....
Hapo ndio umefanya research na kutupatia majibu!!!
Hahahahah kwiii kwiiii kwiiiii!!
 
Title yako haikidhi content ya thread, labda ungeandika "kati ya W. Slaa na J.Kikwete nani maarufu katika mitandao ya Twitter na FB kidogo ningekuelewa
 
kwanza ujiulize ni nani rais wa hii nchi aliyechaguliwa kwa kura nyingi na watanzania..

Dr. JK all the way
 
kwanza ujiulize ni nani rais wa hii nchi aliyechaguliwa kwa kura nyingi na watanzania..

Dr. JK all the way
Umenena. Sema kuna wananchi/wapiga kura wabishi humu sijawahi ona. Yaani haya matokeo yangetolewa na REDET nadhani ndiyo ingekuwa matusi. Ila huo ndiyo ukweli Dr JK ni zaidi ya Dr Slaa.
 
Hivi facebook huwa kuna brain au ni play boy excluding being wealthy

Ukitaka kujua ukweli jua tu kuwa katika nchi ya wagagigikoko wa TZ ni 19% wanaweza kupata huduma ya umeme hivyo kutumia mitandao ya twiter na facebook. Hata ikiongezeka kwa kuchaji kwa jirani na nguvu nyingine haitafika 50%. La pili nalo lafanana na hilo, hivi mwenye mtandao aliitisha maoni mahali pa wazi kama jamii forum au mitandao mingine ya kijamii na kuona mwitikio wake au wana ndugu waliitana na kusema tuweke kura za maoni mara nyingi tuone watasemaje? Kwa kifupi ni maoni yasiokuwa ya kisomi kwa kuwa kanuni za mitandao hii ya maoni ni kujulikana kuwa tunafanya maoni na mtu akapiga kura moja tu
 
bado swali la msingi halijitoshelezi ili liweze kujibika bila kuacha shaka...
unaposema nani maarufu inabidi kui-qualify statement, maarufu katika nini?? Vinginevyo huwezi kupata picha ya unachohitaji kutoka kwa watu makini....

Kweli mdau, maana ya maarufu (famous) ni mtu anaejulikana kwa kufanya jambo flani katika jamii na linaweza kuwa la kisiasa au la kawaida ilimradi limemtambulisha kwa jamii kubwa, nikiangalia hizo takwimu zinaweza kuwa ni maarufu kwa kukaa kimya kwenye mijadala au issue ambazo alitakiwa aseme kitu na ndio maana aka-score nyingi kuliko Slaa (alitakiwa aweke subject na si kuonyesha maksi nyingi), mtu anaweza kuwa bingwa wa kutunza watu kwenye muziki na yeye ni maarufu. Ingekuwa ansema kati ya Slaa na JK nani MASHUHURI (POPULAR) hapo sawa kwa kuwa mashuhuri ni mtu anaejulikana na kupendwa na watu wengi kutokana na mchango wake kwenye jamii, lakini maarufu hata mie naweza kuwa maarufu kwa kuongea utumbo hivyo ukiweka kwenye facebook nita-score nyingi
 
hebu wacha kuleta comparison za kijinga hapa JF, unawezaje kumcompare dokta na dhaifu????? au umetumwa nini?? grwo up bana, hao wanao mlike dhaifu jk ni mashostito na masharobaro, sawa na kucompare heaven and earth kamwe haziwezi kukutana, dr. slaa yuko juu, huyo dhaifu PHd thesis yake alipresent chuo gani?????
 
Vitu vingine viko so obvious, Kikwete Rais wa nchi, je kama watu wanamkuta kwenye face book na twitter unategemea watu wasimwandikie hizo like?
Swali lingekuwa hivi, je kati ya hao Ma dr, nani anaongoza kutete raslimali za nchi huenda matokeo yangekuwa tofauti, like hizo likes tu hata mimi nitachagua Kikwete na kwa kufanya hivyo kama atachat na mimi poa tu
 
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;

FacebookTwitterTotal popularity
Dr Kikwete (President)43, 724 likes36,038 Followers79,762
Dr Wilbrod Slaa42,388 likes8,370 Followers50,758

Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!

umaarufu wa jk unatoka umoja wa wanawake wanaomwita malaika.hakuna mwanaume anaeweza kumsifia jk kwa lipi hasa labda alshabab
 
hebu wacha kuleta comparison za kijinga hapa JF, unawezaje kumcompare dokta na dhaifu????? au umetumwa nini?? grwo up bana, hao wanao mlike dhaifu jk ni mashostito na masharobaro, sawa na kucompare heaven and earth kamwe haziwezi kukutana, dr. slaa yuko juu, huyo dhaifu PHd thesis yake alipresent chuo gani?????
Umenicheksha sana. Ila Dr JK yupo Juu. Ushahidi ni huo.
 
Hii ni hoja au conclusion?
Na hii ni ya mwaka gani?
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;

FacebookTwitterTotal popularity
Dr Kikwete (President)43, 724 likes36,038 Followers79,762
Dr Wilbrod Slaa42,388 likes8,370 Followers50,758

Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!
 
So what? Inategemea na criteria iliytumika...

Kwa mfano...yule ombaomba Matonya (RIP) alikuwa maarufu na kujulikana sana kuliko Jenerali Ulimwengu! Kati ya hawa wawili yupi kichwa?
 
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;

Facebook
Twitter
Total popularity
Dr Kikwete (President)
43, 724 likes
36,038 Followers
79,762
Dr Wilbrod Slaa
42,388 likes
8,370 Followers
50,758

Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!

Kuwa na imani na mtu au mtu kuwa maarufu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mathalani...katika kulinganisha umaarufu ni criteria gani imetumika?

Embu chukua mfano wa yule ombaomba Matonya (RIP)... alikuwa maarufu na kujulikana sana kuliko Jenerali Ulimwengu! Kati ya hawa wawili yupi kichwa?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom