Search results

  1. Augustking

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Kuna jeep imekatiza hapa kimara darajani now na hii mvua ndani kuna bint anaendesha na pembeni young wa kiume. Akili yote inaniambia huyu ni careen na BM wanakatiza
  2. Augustking

    JamiiForums Usiku wa manane

    03:40
  3. Augustking

    Nahitaji laini ya Safaricom

    Habari? Nipo Dar nahitaji line ya safaricom niitumie kuconnect na paypal. Kwa ambae anauza naomba tuwasiliane WhatsApp +255759702766 Call: +255769931891
  4. Augustking

    Lenovo laptop kali inauzwa

    Ipo chini sana mkuu fanya 380
  5. Augustking

    Lenovo laptop kali inauzwa

    Bei laki 4 Location kimara Mrisho Laptop Lenovo HDD 500, RAM 4
  6. Augustking

    Wale wapenzi wa sweat reggae(lovers rock) pata ngoma kali za Jumapili

    Wakuu kuna hii mix naitafuta sana watch 2014 Reggae Lovers Rock Vol 1 - DJ ShaRoc Nona YouTube haipo tena km kuna mtu alidownload nsomba aitume hapa Thanks
  7. Augustking

    Real estate licenses

    Habarini waku. Kwa wajuzi naomba kuuliza hivi process na gharama za kupata license kwaajili ya real estate broke, agent au developer zikoje? Nimepita kwenye website ya wizara ya ardhi lakini sijaambulia chochote. Thanks.
  8. Augustking

    Prison Break vs Breaking Bad

    Tuco
  9. Augustking

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kuna member yoyote alienunua kifurushi kwa huyu jamaa? Atupe mrejesho Thanks
  10. Augustking

    Kusema eti ukikipenda kitu unachokifanya utafanikiwa yaani kitakutoa, ualimu haunipi mafanikio

    Mkuu ni mwalimu wa level gani kama upo vizuri course hero tutor utafanya kazi kama frelancer mwalimu bila shida Kama hesabu zinapanda vizuri hutakosa $700 per month
  11. Augustking

    Wale tunaofanya kazi online tukutane hapa

    Habari zenu mafrelancer wenzangu? Dhumuni la uzi huu ni kuhitaji sehemu ambapo tutakutana na kushare ideas, tips and tricks na changamoto mbalimbali kwa wale ambao tunafanya kazi fiverr na upwork. Mimi binafsi nafanya kazi fiverr full time now nina account 3 ninazozimiliki na kuziendesha...
  12. Augustking

    USA Phone Number

    Habari wana IT Naomba msaada kujua ni plaform ipi naweza kurent phone numbers ya USA ambayo ntakuwa naitumia kufanya verification mbalimbali online.
  13. Augustking

    Nanunua Positive Reviews Upwork na Fiverr

    Nicheki PM kuna kipindi nilinunua review zangu km 6 hivi kwenye gig yangu. fiverr profile ilipanda nikapiga km $800 hivi within 3 weeks
  14. Augustking

    UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

    Hii hela unayotoa kila siku inakuwa inatoka wapi ?
  15. Augustking

    Freelancing: Tengeneza pesa mtandaoni (online)

    Mi napiga Fiverr issue kubwa ni kigoogle online kila kitu kipo hapo. Nafikilia kufungua profile ya pili. Nikiwa na PC nyingine
  16. Augustking

    Laini ya safari in inauzwa

    Habari? Nauza laini ya safaricom 30k napaatikana kimara mwisho. Hii ni kwaajili ya wanaotaka kufungua paypal
Back
Top Bottom