Trab na Trat
Member
- Sep 30, 2022
- 34
- 74
Habari wakuu, kama una account ya Upwork au Fiverr ya zamani iliyowahi kununua bidhaa au huduma niko interested kukulipa unipe review kwenye account zangu.
Kwa wale wa Upwork ntakulipa, halafu wewe utaweka nusu ya pesa Upwork then utapost tangazo la kazi kule, mimi Nita apply na kuifanya, badaye na submit unalipa ile nusu uliyoiweka badae unanipa review, nusu unabaki nayo.
Kwa wale wa Fiverr nitakupa pesa, nusu utaweka na ku order gig yangu then utailipia nusu utabaki nayo wewe, badae nita submit kazi utailipa ile nusu uliyoiweka kule na kunipa 5 stars review.
Naamini nimeeleweka, karibuni.