Search results

  1. CR wa PROB

    Naombeni msaada kidogo wadau juu ya hili swala!!

    Juzi wakati nipo hapa jamvini kuna Thread moja ya Bujiji iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho Ni Kitabu gani ulichokisoma hivi karibun.. Ilinivutia sana kuipitia kwani ukitaka kumficha kitu mtanzania wewe mwekee kwenye vitabu, yani ni wavivu sana kusoma vitabu. Sasa wakati naisoma kuna...
  2. CR wa PROB

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Kishapu naye aanza kukatwa mshahara

    Sioni kama hili la leo lililofanywa na akina Mrema ni suluhu ya hilo tatizo au vipi, Kwa kifupi Mkurugenzi wa Halmashuri ya Wilaya ya Kishapu ametia hasara serikali yetu sh billioni tatu ila adhabu aliyopewa ni kupewa hati chafu na kukatwa mshahara kwa 15%, je wewe kama mzalendo wa Kitanzania...
  3. CR wa PROB

    KAMPUNI YA tiGO, HATA SISI WATANZANIA TUNAJUA HESABU HIVYO PUNGUZENI KUTUIBIA!!!

    Awali ya yote nipende kuwapongeza kampuni ya tiGO kwa kuwa kampuni mama ya Tanzania!! Tatizo kubwa linaloniumiza mimi kama mteja wenu ni pale mnapotudanganya kupitia matangazo yenu ya biashara kuwa dakika moja sh, 60 za kitanzania kisha robo shilingi ambayo ni sawa na sh 15 kwa dakika ila sio...
  4. CR wa PROB

    Nasaha zangu kwa akina dada wa vyuo vikuu vya nchini, wakati vinapoelekea kufunguliwa

    Awali ya yote nipende kuwapongeza dada zangu kwa kuwa na mwamko wa Elimu!! Pili nichukue fursa hii kuwaomba dada zangu kuwa wakati tunapoelekea kufungua vyuo tunaomba muache kuvaa nusu Uchi!!! kiukweli mimi kwa nafsi yangu huwa nakereka sana pindi ninapomwona msomi wa chuo kikuu amevaa nguo...
  5. CR wa PROB

    KWA HILI LA LEO, Mh Pinda nakuunga mkono!!

    Leo ni mara yangu ya pili kukusikia mh Pinda ukizungumzia maswala yanayoigusa jamii, Kwa kifupi leo nimefarijika sana kumwona waziri mkuu wetu akiwa anawaonya na kuwakemea viongozi ambao wanatumia pesa za walipa kodi kuingia kwenye misafara mingi pale wanapoona kuna kiongozi mkubwa serikalini...
  6. CR wa PROB

    Nasaha zangu kwa CHADEMA kabla ya uchaguzi mdogo wa Igunga

    Awali ya yote nipende kushukuru uongozi mzima wa CHADEMA kwa kusimamisha mgombea ambaye anaonekana ni makini na mahiri sana kwa maslahi ya Wanaigunga na watanzania wote kiujumla. Kiukweli sisi wazalendo wa Kitanzania tumeichoka saaaaaaaaaana CCM hivyo basi fanyeni mfanyavyo ili muweze kulichukua...
  7. CR wa PROB

    Nasaha zangu kwa chadema kabla ya uchaguzi mdogo wa igunga

    Awali ya yote nipende kuupongeza uongozi mzima wa CDM kwa kusimamisha mtu ambaye anaonekana ni makini na mahiri wa hali ya juu, Kiukweli sera zenu na mtizamo wenu juu ya maendeleo ya hili taifa letu unatutia moyo sana hata sisi watu wa lower class ila wenye mtizamo chanya na hili taifa letu...
  8. CR wa PROB

    Msiba mkubwa watua sua, kijana anywa mizinga minne bila kulewa

    Hatimaye vifijo, nderemo pamoja na simsnzi vyatua kwenye viwanja vya SUA, Swala hilo limejitokeza baada ya matokeo ya University Examination (UE) kutolewa kwenye mbao za matangazo huku vijana wengi wakiawa wanasikitika sana kutokana na kukosa boom la mwaka mpya wa masomo kutokana na kukosa...
Back
Top Bottom