KAMPUNI YA tiGO, HATA SISI WATANZANIA TUNAJUA HESABU HIVYO PUNGUZENI KUTUIBIA!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAMPUNI YA tiGO, HATA SISI WATANZANIA TUNAJUA HESABU HIVYO PUNGUZENI KUTUIBIA!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CR wa PROB, Nov 1, 2011.

 1. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Awali ya yote nipende kuwapongeza kampuni ya tiGO kwa kuwa kampuni mama ya Tanzania!!

  Tatizo kubwa linaloniumiza mimi kama mteja wenu ni pale mnapotudanganya kupitia matangazo yenu ya biashara kuwa dakika moja sh, 60 za kitanzania kisha robo shilingi ambayo ni sawa na sh 15 kwa dakika ila sio hivyo, kwa mtanzania yeyeote mwenye uelewa mdogo tu kama wa kwangu amabao hauhitaji elimu ya chuo kikuu ameashagundua utapeli wenu na mpo hatiani kuwapoteza wateja wenu wengi. Hivyo basi msipende kutudangaya sisi wateja wenu kama watoto wadogo.

  Nilidhani labda ni laini yangu tu ambayo inanikata hela kwa fujo hivyo, ila kwa utafiti wangu mdogo nlioufanya nimedhihirisha ya kwamba sio mimi bali tupo wengi mno ambao mnatuibia kupitia matangazo yenu ya biashara, Swala kama hili halihitaji maandamano ni kulifanyai tu marekebisho.

  Vilele kuna mfumo ambao mmeuanzisha wa kumwekea mtu nyimbo ambazo hazina maadili huku hajaziomba na mkiendelea kumkata hela kila siku ya Mungu na akiwapigia ili muondoe simu hazipokelewi, Mkiona biashara imewashinda ni bora mfungashe virago muondoke hata kabla mda wenu wa kulipa kodi haujafika, kwani nimesikia hata kodi hamlipi!!!!!!
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Watanzania bana, kazi kulalamika tu hatua hamchukuii

  Hawa wapiuzi nikuwakimbia tu maana hawasikii......nilipoona wananizingua "nikahamia" alafu wale wote ambao wamezoea kunibip au wale ambao ni lazima niwapigie kwa sababu moja au nyingine nikawashawishi na wao "wakahamia"....

  Siku hizi nasikia ukipiga unaulizwa kama unataka mchumba, sasa hii si hatari hii...muda si mrefu wataanza kutongoza watu wakiwa wanapiga simu au kwa huduma kwa wateja

  Tigo ni washenzi na ni sikio la kufa, hawasikii kabisa
   
 3. kinganola

  kinganola Senior Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe na wenzangu hili mmeliona?,kila nikiasikia lile tangazo la tigo imerudia tena kukupa salio mara mbili,sote ni ndugu,,,,nakerwa kupita maelezo.Mimi ni moja kati ya wateja wakongwe wa tigo,nakumbuka nimeanza kutumia mobitel mwaka 2001,hadi leo,nina miaka 10,kipindi kile kulikuwa na votcha za elfu Tano na Elfu kumi tu,gharama zilikuja kushuka hadi tulikuwa tunaonge bure usiku,achilia mbali huduma ya extreem,kwa sasa natangaza rasmi nitawahama msipo punguza gharama,ni heri niende zantel,vodacom au zain.Nimewachoka.
   
 4. s

  saxzu Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hilo kweli hawa wapuuzi wanakula hela kishenzi alafukilasiku wanatangaza promotion, wameshatengeneza hela sasa hivi wanarudisha faida dawa ni kuhama
   
 5. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tigo nimejitoa kwa hao wapuuzi kabisaaaaa
   
 6. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Sasa mkuu yani mda mwingine unaweza ununue zile vocha zao za tiGO pesa kwa kujiuzia mwenyewe ajabu ni kwamba hela imekatwa na hawakupi salio, ukiwapigia wanakuambia kuwa tatizo lako wanalishughulikia then hapo ndio usahau kimoja!
   
 7. S

  Stany JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Njoon airtel!
   
 8. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mi nilisha-wahama siku nyingi...toka kipindi kile wanatangaza Tsh 1 kwa sekunde...I discovered wanakata tsh 1.63...fasta nikaenda kwingine ambako cost sio ndogo but they don't lie....
   
 9. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tigo ni wahuni kama jina lao
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  wanaliwa tiGO
   
 11. k

  kitumanga Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli tigo wamezidi. cjui customer care hawajasoma computer? mana hawapo systematic kabisa yaani wanatangaza ofa kibao ambazo kiuhalisia hazipo. si bora wasitangaze ofa kama hawawezi kutoa. yani kazi yao ku22mia sms za ofa kila saa wakati kiuhalisia ni wiz m2pu! mara ongeza salio upate mara mbili wapi wiz m2pu, muda wa maongezi wa bure wapi wiz m2pu, customer care ukipiga cm kujibiwa masaa mawili wiz m2pu. kingine ni ule mkopo wa kizush wanaotoa wa 450 yaani kulipa 2nalipa kwa faida lakini nashangaa kwa nini wanarestrict ma2miz yake kwa mfano mkopo huwez kutumia kwenye internet au kupiga simu kwenda mitandao mingine why? kwa nini wactoe mkopo wa uhakika kama voda unaotumika kwa matumizi yote y? wizi m2pu. tigo nahama kama mambo yao ndo ya kimagumashi iv bora niamie zantel, voda au airtel au hata ttcl wanaweza wakawa bora zaidi yao kwa kutokua waongo. tigo wizi mtupu jirekebisheni 2tahama wote mkiendelea ivo. kumbukeni kuwa huu ni ulimwengu wa utandawazi, science na technology.
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni fulk michosho. Wanakuunga kwenye voice mail kwa lazma, huu ni ujinga.
   
 13. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Tatizo kubwa la tigo ni waongo! Hayo mengine tunaweza kuvumiliana lakini kudanganya watu wazima haivumiliki.
   
 14. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  TiGo wanaliwa yenyewe
   
 15. M

  Mwera JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  laah sizinga umenichekesha sana,vp habari za ufipa,masiku mengi sijakuona hapa jamvini.
   
Loading...