Nasaha zangu kwa CHADEMA kabla ya uchaguzi mdogo wa Igunga

CR wa PROB

Senior Member
Sep 21, 2011
170
29
Awali ya yote nipende kushukuru uongozi mzima wa CHADEMA kwa kusimamisha mgombea ambaye anaonekana ni makini na mahiri sana kwa maslahi ya Wanaigunga na watanzania wote kiujumla. Kiukweli sisi wazalendo wa Kitanzania tumeichoka saaaaaaaaaana CCM hivyo basi fanyeni mfanyavyo ili muweze kulichukua jimbo la Igunga.

Lakini tambueni ya kwamba ujanja ni kuwahi bali sio kutangulia na siasa ni mchezo mchafu wenye fitina za kila aina. Hivyo basi nipende kuchukua fursa hii kuwashauri kuwa kabla uchaguzi haujafanyika karatasi zote za kupigia kura zifanyiwe uchunguzi ili kuepukana na zile kura za moto ambazo mahasimu wenu wa CCM huwa wanazitumia wanapogundua ya kwamba upepo unavuma vibaya.

Kutokana na taarifa zisizokuwa rasimi ni kwamba kura hizi ndizo zilizotumika kuivua madaraka iliyokuwa ikijulikana kama ngome ya CUF pale Temeke, na kumfanya aliyekuwa mwenyekiti wao atake kwenda Egypt na South Africa kuzifanyia uchunguzi ila ghafla kapewa mlungula wa kwenda kufanya shughuli maalumu huko umoja wa mataifa (UN) na kumsahaulisha kila kitu.

Mimi kama kijana mzalendo wa Kitanzania nitaumia sana kusikia ya kwamba kura zimechakachuliwa kwa njai yoyote ile, Hivyo basi naombeni sana muweze kuwa makini na kura za moto.

NDUGUZANGUNI WANAIGUNGA TANZANIA INAHITAJI KIONGOZI JASIRI SANA,AMBAYE ATAFANYA KAZI KWA MASLAHI YA WANAIGUNGA PAMOJA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA, NA KIONGOZI HUYO HAWEZI KUTOKA CCM HATA SIKU MOJA. Hivyo basi ni muda wenu muafaka wa kwenda kuiangusha CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WANAIGUNGA WOTE UWAPE MOYO WA KUPIGA KURA.
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,786
Kwa nini haujawahasa kuacha kujichukuli sheria mkononi na uhuni?.uzalendo ni kumvua hijabu mama wa watu?.watz ni wastaarabu na watachagua mstaarabu mwenzao ambaye ni dr p kafumu kutoka ccm.
 
Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,882
1,124
kwa nini haujawahasa kuacha kujichukuli sheria mkononi na uhuni?.uzalendo ni kumvua hijabu mama wa watu?.watz ni wastaarabu na watachagua mstaarabu mwenzao ambaye ni dr p kafumu kutoka ccm.
kina mama kila siku wanavuliwa si hijabu tu wanasaulwa kila kitu na kuliwa uroda kama unabisha kamwulize nchemba pale igunga alimfanya nini yule mke wa kada mwenzake,au nunataka kutuambia alimla bila kumvua hijabu?
Acha ushamba mtoto wa kiume utavalishwa shanga.
Ccm kila vikao vyenu ni kuvuana si hijabu tu hata chu.i kina mama wanazipoteza sana kwenye vikao vyenu.
Ndo maana kila kiongozi wa ccm ana watoto wa nje na kila kiongozi mwanamke ana watoto baba tofauti.
Twahil hata wewe inawezekana ni wa kwenye nec,mwenge au mkutano mkuu.

Au unabisha?
 
dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
252

du!! mkuu vipi!! Jamaa anaushahidi gani kuwa alivuliwa au alijivua mwenyewe katika panic!! LAkini si Muhalifu mbona anahitaji sitaha ya hali ya juu!
 
HAKI bin AMANI

Senior Member
Sep 5, 2011
156
34
Kwa nini haujawahasa kuacha kujichukuli sheria mkononi na uhuni?.uzalendo ni kumvua hijabu mama wa watu?.watz ni wastaarabu na watachagua mstaarabu mwenzao ambaye ni dr p kafumu kutoka ccm.

4AYmMn5onpSvjAAAAAElFTkSuQmCC

Hakuna nzi msafi hata akiwa wa kijani.
 
HAKI bin AMANI

Senior Member
Sep 5, 2011
156
34
Kwa nini haujawahasa kuacha kujichukuli sheria mkononi na uhuni?.uzalendo ni kumvua hijabu mama wa watu?.watz ni wastaarabu na watachagua mstaarabu mwenzao ambaye ni dr p kafumu kutoka ccm.

AZwfH1aKUNQQAAAAAElFTkSuQmCC

Hakuna nzi msafi hata kama ni wa kijani.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,581
25,244
Kwa nini haujawahasa kuacha kujichukuli sheria mkononi na uhuni?.uzalendo ni kumvua hijabu mama wa watu?.watz ni wastaarabu na watachagua mstaarabu mwenzao ambaye ni dr p kafumu kutoka ccm.

watanzania hawali hijabu, huo ni msamiati wa kufikirika, eti hijabu. kama unaona hijabu mali jifunge hijabu mwili mzima!!!!! ujue pia kuwashawishi watu mpaka wasielewe wanamwabudu nani unawapotosha wenzio wakuabudu, wataanza kumuabudu dc badala ya mwenyezi mungu wao.
 
usininukuu

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
380
44
Ili Igunga iwe salama ni lazima idondoke mikononi mwa CDM kwani ndo Mtetezi halisi wa kila Mtanzania. Umakini ktk kulinda kura ukifanyika hakika tutashinda bila kujali siasa uchwala za CCM.
 
tweve

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
694
147
kuvuliwa hijab ni kudharirisha ! Kula uroda mke wa mtu halali kabisa!kuwapa kipigo mashabiki wa vyama vya upinzani kwa ccm ni halali ! kutembea na bastola hadharani kwenye mikutano ya kampeni kwa ccm ni halali kabisa!hivi nyie mnaoishabikia ccm mna akili zote kichwani ama mwa tumia masaburi kufikiri?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom