Naombeni msaada kidogo wadau juu ya hili swala!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada kidogo wadau juu ya hili swala!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CR wa PROB, Nov 2, 2011.

 1. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Juzi wakati nipo hapa jamvini kuna Thread moja ya Bujiji iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho Ni Kitabu gani ulichokisoma hivi karibun..

  Ilinivutia sana kuipitia kwani ukitaka kumficha kitu mtanzania wewe mwekee kwenye vitabu, yani ni wavivu sana kusoma vitabu. Sasa wakati naisoma kuna mdau mmoja amedai amesoma kitabu cha RAHA YA PIPA cha J.K na amedai kipo madukani, Sasa naomba kuuliza kuwa hivi ni kweli J.K ametoa hicho kitabu au vipi?? na je naweza kukipata wapi?? nisaidieni wadau kwa hili.
   
 2. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hakuna kitabu kama hicho-huyo mtu alikuwa anatania tu
   
 3. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ok thanxs alots
   
 4. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  doooooooh mimi pia nlickia hyo issue but nilshindwa kuamini
   
 5. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Vp ndg yng hivyo kwani JK nikifupisho cha majina kibao katika nchi hi we mulize kilefu chake kisha kakitafute
   
Loading...